Mbunge Pauline Gekul atakiwa kufika Mahakamani Disemba 27, 2023 kujibu tuhuma dhidi yake

Mbunge Pauline Gekul atakiwa kufika Mahakamani Disemba 27, 2023 kujibu tuhuma dhidi yake

Naskia kakimbilia kwao Kenya.
Yaani Watanzania wote hawa wasio na ajira badala yake vyeo vizuri wanakabidhiwa Wageni ?

Matokeo yake ndio hayo sasa.
Watanzania wana ka huruma flani ukilinganisha na Majirani zetu.
 
Mchezo wake pendwa alishauacha? Namkumbuka enzi zile. Kwenye sekta ile mtaalamu sana. Ndugu yangu Mkurugenzi Idara ya Wakimbizi miaka ile kafaidi sana walikutana wadau mchezo pendwa .
Mchezo gani huo kwel wahaya tunabania hivi
 
Hii issue ilivyoshughulikiwa, mimi sitegemei sana kuwa haki itatendeka. Nadhani kule kutumbuliwa uwaziri ''wenye nchi'' wanadhani inatosha. Nasema hivi kwa sababu makosa anayotuhumiwa ni makubwa na yako dhahiri kiasi ambacho angekuwa ''kamchape'' ungekuta alishafikishwa mahakamani siku nyingi na kunyimwa dhamana na kesi kuahirishwa mpaka ndama watakapoota meno ya juu.
uko sahihi
 
Back
Top Bottom