Mbunge pekee wa CHADEMA, Aida Khenan ahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Dkt. Magufuli jijini Dodoma

Mbunge pekee wa CHADEMA, Aida Khenan ahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Dkt. Magufuli jijini Dodoma

Huyu mwanamama mliomuamini na kumpa nafasi ya kugombea kupitia chama chenu na akafanikiwa kupenya, huenda sio mwezunu/nwwenzetu bali ni mtu wa system aliekuwa na kazi maalumu ya kufanya ndani ya chama na ndio maana kapenya.

Hivyo,nawashauri muwe nae macho sana kwani anaweza kuwavuruga wakati wowote.

Huyo mwanamama hata watu wa chama cha mbogamboga nao nahisi watakiwa hawamjui.

Hajapita bure huyo!
Hivi Chadema ni akina nani maana kila mtu anatoa ushauri Kwa Chadema au ni kikundi fulani cha watu, nakanganyikiwa zaidi pale napoambiwa Chadema ni mioyo ya watz...ngoja nione hizi drama
 
Siku zote wasi wasi wako ndiyo usalama wako,

Siyo kila mtu anaaminika na siyo kila mtu hawezi kuaminika.

Vizuri kuchukua tahadhari.
 
Mkuu tuwe wakweli hivi angepita Mbowe angejivua ubunge?
Nyoo!
20201030_231854.jpg
 
Kwa aina ya wizi na nguvu iliyotumika, kwa kweli lazima mtu ujiulize kwa nini Nkasi ikaachiwa. Na kwa nini analazimisha kwenda bungeni? Na kwa nini amehudhuria kuapishwa kwa Magufuli?
Eti Nkasi ikaachiwa!! Hivi we unadhani ilikua jambo rahisi kumshinda mzee Kessy? Au unadhani alipenda kushindwa? Ona huyu!!
 
Acha ale mema ya nchi kila mtu uwa ana mipango yake. Yeye huenda katumwa na familia akaikomboe kupitia atakachoambulia kwenye ubunge.
Ndugai uzurI ndio spika mtarajiwa, huwa ana namna ya kuwasaidia Wahanga wa kufukuzwa kwenye vyama vyao
 
Wakati kuna wabunge waliokosa ubunge wanapambana waingie bungeni kwa tiketi ya viti maalumu.
 
Hebu mwacheni basi huyo Dada wa watu apumue! Au inauma sana kuona mwamba kuanguka, wakati huo huo Dada wa watu kashinda!
 
Hivi huko CHADEMA wote wanatumia akili za kuambiwa tu hakuna anayechanganya na zake?
 
Viongozi wa CHADEMA waache ubinafsi wa kutaka kila kitu lazima iwe wao. Wamwache aende bungeni akawawakilishe wananchi waliomchagua.
#Aidaaendebungeni
 
Hvi Chadema ni akina nan maana kila mtu anatoa ushauri Kwa Chadema au ni kikundi fulan cha watu , nakanganyikiwa zaidi pale napoambiwa Chadema ni mioyo ya watz...ngoja nione Hz drama
Ni kambale kwa mujibu wa Duni Haji
 
Haya ndio matatizo yetu watanzania tulio wengi tunatumia muda mwingi kwenye kuwaza mambo ambayo siyo ya msingi na kujaribu kuyatafsiri (wote wenye elimu na wasio)

Kwenye kufanya ivyo tunatafuta sababu au mapungufu ambayo hayapo (walau on evidence).

Halafu tunatumia mahitimisho ya kichwani kwetu kama (premise) za ku interact na mtu au kutafsiri kitu.

Matokeo yake unakuta fikra za mtu zipo far from the truth mara nyingi na si ajabu huo mtazamo wake ukawa chanzo cha migogoro ambayo ipo kichwani kwake tu.

Personal naweza sema dada zangu wakubwa wanatabia hizi.

Sometimes let’s learn to take life as it is no need to complicate matters.
 
Hata mimi amenishangaza wenzake wamesema hawautambui huu uchaguzi yeye anaenda kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais wakati alitweet kuwa ataungana na wenzie kwa makubaliano watakayofanya
 
Back
Top Bottom