Mbunge pekee wa CHADEMA, Aida Khenan ahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Dkt. Magufuli jijini Dodoma

Aruhusiwe hakuna cha kugain kwa kumzuia na hakuna cha kupoteza kwa kumruhusu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
If they want something from you they will get it, whatever the case.
Waende basi wawarudishe wanawake wetu na watoto waliotekwa Kitaya, Mtwara na magaidi.
 
Huyu mwanamama mliomuamini na kumpa nafasi ya kugombea kupitia chama chenu na akafanikiwa kupenya, huenda sio mwezunu/mwenzetu bali ni mtu wa system aliekuwa na kazi maalumu ya kufanya ndani ya chama na ndio maana kapenya.

Hivyo, nawashauri muwe nae macho sana kwani anaweza kuwavuruga wakati wowote.

Huyo mwanamama hata watu wa chama cha mbogamboga nao nahisi watakiwa hawamjui.

Hajapita bure huyo!
CHADEMA bwana, hata Zitto walimwita MTU wa system wakamfukuza, juzi kwenye uchaguzi wakafunga naye ndoa isiyojulikana!
 
Mbunge pekee wa CHADEMA, Aida Khenan wa Jimbo la Nkasi Kaskazini ahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Dk John Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

Aida Khenan ametoa msimamo mwingine kuwa hawezi kuwasaliti wananchi waliomchagua kuwawakilisha hivyo anasubiri kuapishwa aingie bungeni. Awali Mbunge huyu alitoa msimamo kwamba watakachosema viongozi wa chama chake ndicho atakachofuata.

"Chama kiliniamini kikarudisha mamlaka kwa wananchi na wananchi wamenipa mamlaka. Kama niliapa Chadema siwezi isaliti hali kadhalika siwezi wasaliti wananchi wa Nkasi Kaskazini.

Naomba nitoe msimamo wangu, mimi Aida nimechaguliwa kwa mujibu wa sheria na ni mbunge halali wa Nkasi Kaskazini, ninasubiri kuapishwa na hakuna jambo jingine, sina mabadiliko mengine".

Aidha Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema kuwa kamati kuu itakaa na kutoa msimamo wa chama wa jumla kama kuendelea na msimamo wa awali uliotolewa na viongozi wakuu wa chama au vinginevyo.

Lakini pia ameongeza kuwa kama kamati kuu ya chama ikibariki maamuzi ya viongozi wakuu wa chama basi Aida kama atabaki na msimamo wake wa kwenda bungeni itabidi atafute namna nyingine ya kuwatumikia wananchi wa Nkasi.

Tatizo ni ubinafsi wa Tundu Lissu, nimekosa naye akose! Sijui kwanini watu hawataki kumwelewa huyu kiumbe TL
 
Huyu mguu mmoja upo CCM,huhitaji hata elimu ya vidudu.

Watamfukuza,atahamia CCM na ubunge wake kwa maana hata itokee by election leo wapinzani hawana hata hamu na uchaguzi tena.
Tanzania hakuna Uchaguzi Mkuu, kuna Ubaguzi.
 
Hata mimi amenishangaza wenzake wamesema hawautambui huu uchaguzi yeye anaenda kuhudhuria sherehe za kuapishwa rais wakati alitweet kuwa ataungana na wenzie kwa makubaliano watakayofanya
Kuwa na akili kiduchu ile acc Twitter co yake
 
Huyu mwanamama mliomuamini na kumpa nafasi ya kugombea kupitia chama chenu na akafanikiwa kupenya, huenda sio mwezunu/mwenzetu bali ni mtu wa system aliekuwa na kazi maalumu ya kufanya ndani ya chama na ndio maana kapenya.

Hivyo, nawashauri muwe nae macho sana kwani anaweza kuwavuruga wakati wowote.

Huyo mwanamama hata watu wa chama cha mbogamboga nao nahisi watakiwa hawamjui.

Hajapita bure huyo!
Kwa hiyo ni kosa kushinda uchaguzi?
Angeshinda Mbowe Je?
 
Mbunge pekee wa CHADEMA, Aida Khenan wa Jimbo la Nkasi Kaskazini ahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Dk John Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

Aida Khenan ametoa msimamo mwingine kuwa hawezi kuwasaliti wananchi waliomchagua kuwawakilisha hivyo anasubiri kuapishwa aingie bungeni. Awali Mbunge huyu alitoa msimamo kwamba watakachosema viongozi wa chama chake ndicho atakachofuata.

"Chama kiliniamini kikarudisha mamlaka kwa wananchi na wananchi wamenipa mamlaka. Kama niliapa Chadema siwezi isaliti hali kadhalika siwezi wasaliti wananchi wa Nkasi Kaskazini.

Naomba nitoe msimamo wangu, mimi Aida nimechaguliwa kwa mujibu wa sheria na ni mbunge halali wa Nkasi Kaskazini, ninasubiri kuapishwa na hakuna jambo jingine, sina mabadiliko mengine".

Aidha Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema kuwa kamati kuu itakaa na kutoa msimamo wa chama wa jumla kama kuendelea na msimamo wa awali uliotolewa na viongozi wakuu wa chama au vinginevyo.

Lakini pia ameongeza kuwa kama kamati kuu ya chama ikibariki maamuzi ya viongozi wakuu wa chama basi Aida kama atabaki na msimamo wake wa kwenda bungeni itabidi atafute namna nyingine ya kuwatumikia wananchi wa Nkasi.

Jirani yangu Nyani Ngabu je unamfahamu mtu huyu?
 
Japo hilo jimbo ni la CHADEMA lakini jicho langu la tatu ni mtaji wa CCM kisiasa kama ushahidi wa uchaguzi wa haki hivyo maamuzi yoyote ya viongozi wakuu wa chadema hayataathiri kuapishwa na kuendelea kuwepo bungeni m'bunge huyo maana atalindwaa na utawala.
 
Huyu naye chadema watamkosa

Kuna 99% ya kuwa ccm
Hivi CHADEMA hatujamjua Ndugai tu? Hata wakimfukuza uanachama huyo dada ataendelea kuwa mbunge wa Nkasi Kaskazini. Wajifunze kwa Cecil Mwambe, kama hawataki kujifunza basi vichwa vyetu vina dosari!

Nawaomba CHADEMA kwa vile hawakuwa na mbinu za kudhibiti uporaji wawe wapole tu kama makondoo tusonge mbele! Waldau watapata viti labda mitano vya ubunge maalum na huyu binti watafikisha 6, siyo haba! Ruzuku itaingia japo kiduchu!
 
Yaani Chadema wangejua uchaguzi wa 2020 kiilichowaangusha ni pamoja na tabia yao ya kususia Bunge. Ninawashauri tu kwamba washiriki Bunge kwa viti maalum watakavyopewa na pia huyu kuchaguliwa. Wakikataa watajiharibia mno mno. Akili za uongozi wa Chadema kuna mahali hawako Sawa au nao ni mamluki.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Huyu mwanamama mliomuamini na kumpa nafasi ya kugombea kupitia chama chenu na akafanikiwa kupenya, huenda sio mwezunu/mwenzetu bali ni mtu wa system aliekuwa na kazi maalumu ya kufanya ndani ya chama na ndio maana kapenya.

Hivyo, nawashauri muwe nae macho sana kwani anaweza kuwavuruga wakati wowote.

Huyo mwanamama hata watu wa chama cha mbogamboga nao nahisi watakiwa hawamjui.

Hajapita bure huyo!
Hivi mlivyokuwa mnatuaminisha uhuni sasa basiiii, wizi wa kura sasa basiiii mlikuwa na maana gani? Wamwache huyu dada akale mema ya nchi, CHADEMA waache double standard! Nawaza kwa sauti hivi ingetokea Sugu na Heche wametangazwa kule kwao wangeachia?

Tumekubali kupigwa tuwe wapole maisha yaendelee! Na niwaambie, tumeruhusu ujinga huu sasa hivi na 2025 hatupati kitu, maana Magufuli atasimamia tena uchaguzi huo kwa nguvu ya dola labda Mungu amwite mwakani (na ndiyo maombi yetu kwa sasa)
 
Hivi CHADEMA hatujamjua Ndugai tu? Hata wakimfukuza uanachama huyo dada ataendelea kuwa mbunge wa Nkasi Kaskazini. Wajifunze kwa Cecil Mwambe, kama hawataki kujifunza basi vichwa vyetu vina dosari! Nawaomba CHADEMA kwa vile hawakuwa na mbinu za kudhibiti uporaji wawe wapole tu kama makondoo tusonge mbele! Waldau watapata viti labda mitano vya ubunge maalum na huyu binti watafikisha 6, siyo haba! Ruzuku itaingia japo kiduchu!
Nikuhakikishie Chadema hawako sawa kichwani. Au labda nao ni mamluki kama Zitto na Maalum Seif bila kumsahau Lipumba. Mbowe haeleweki.
 
Haihitajiki degree kung'amua hili..
Huyu mwanamama mliomuamini na kumpa nafasi ya kugombea kupitia chama chenu na akafanikiwa kupenya, huenda sio mwezunu/mwenzetu bali ni mtu wa system aliekuwa na kazi maalumu ya kufanya ndani ya chama na ndio maana kapenya.

Hivyo, nawashauri muwe nae macho sana kwani anaweza kuwavuruga wakati wowote.

Huyo mwanamama hata watu wa chama cha mbogamboga nao nahisi watakiwa hawamjui.

Hajapita bure huyo!
 
Yaani Chadema wangejua uchaguzi wa 2020 kiilichowaangusha ni pamoja na tag tabia yao ya kususia Bunge. Ninawashauri tu kwamba washiriki Bunge kwa viti maalum watakavyopewa na pia huyu kuchaguliwa. Wakikataa watajiharibia mno mno. Akili za uongozi wa Chadema kuna mahali hawako Sawa au nao ni mamluki.
Kilicho waangusha cdm ni nguvu ya dola hakuna kingine kama alivyosema bashiru chadema kuondolewa sio maamuzi ya wananchi ni mkakati wa ccm tangu muda mrefu ndo sababu wamekuwa na hii Tanzania ya kijani

Magufuli wenu hapendi ufisadi wake uwekwe wazi kama ununuz wa ndege wapinzani wamepiga kelele manunuzi hayafuati utaratibu za manunuzi nyinyi mmewatafutia sababu eti walikuwa wanatoka bungeni mara wanapiga kila kitu
 
Basi waruhusu hao wachache waende Bungeni wakati wakijipanga upya na kusisitiza katiba mpya.

Ila tumuogope Mungu hasa kulitaja jina lake mbele za watu huku moyoni na matendo yakiwa ya kiharamia.

Sidhani kama hali hiyo itaendelea milele. Iko siku itakuwa siku mpya.
 
Kila mtu ale kwa jasho lake, huyu mama kapambana sana mwacheni ale haki yake pia ni jimbo pekee limetoa madiwani 10 wa CHADEMA.
Wananchi wa kule ni wabishi na ni waelewa pia.... Nilishawahi kufanya kazi kipindi fulani huko.... Wana msimamo sana...
 
Huyu mwanamama mliomuamini na kumpa nafasi ya kugombea kupitia chama chenu na akafanikiwa kupenya, huenda sio mwezunu/mwenzetu bali ni mtu wa system aliekuwa na kazi maalumu ya kufanya ndani ya chama na ndio maana kapenya.

Hivyo, nawashauri muwe nae macho sana kwani anaweza kuwavuruga wakati wowote.

Huyo mwanamama hata watu wa chama cha mbogamboga nao nahisi watakiwa hawamjui.

Hajapita bure huyo!
Upuuzi mtupu
 
Back
Top Bottom