MBUNGE SAMIZI ASIMAMA TENA BUNGENI KUPAMBANA KUHUSU MAJI JIMBONI MUHAMBWE

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi leo amesimama Bungeni Jijini Dodoma kuuliza Serikali kupeleka maji kwenye taasisi za shule na vituo vya afya na uanzishaji wa miradi ya maji.

Fungua video hii kuona kila kitu alichouliza Mhe. Mbunge Samizi na majibu ya Serikali
 

Attachments

  • VID-20250213-WA0097.mp4
    41.2 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…