BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi leo amesimama Bungeni Jijini Dodoma kuuliza Serikali kupeleka maji kwenye taasisi za shule na vituo vya afya na uanzishaji wa miradi ya maji.
Fungua video hii kuona kila kitu alichouliza Mhe. Mbunge Samizi na majibu ya Serikali
Fungua video hii kuona kila kitu alichouliza Mhe. Mbunge Samizi na majibu ya Serikali