Pre GE2025 Mbunge Santiel Kirumba: Kila laini ikatwe Tsh. 50 tujenge barabara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
kulipia tozo au kodi kubwa kwaajili ya maendeleo ni jambo la kawaida kwa nchi yoyote inayoendelea.. Tatizo ni kwamba unaiamini serikali yako kutumia hayo makusanyo kwa uadilifu na yakafanye kazi husika? Jibu ni hapana.
kabisa umeongeq vizuri mkuu
 
MAma yupo seoul atuletee hela na series 4 kali za korea, tbc, itv, star tv na utv wapewe mojamoja kuonesha
Yaliyojaa kichwani mwako unayajua mwenyewe🤣🤣
 
Reactions: Lax
Wakate tu fresh...itatumika kwenye safari ya mama kwenda Canada akiambatana na kundi la wasaniii 50 wanadiplomasia 120 walinzi 45 wasadizi 50 wafanyabiiashara 15
 
Hii nchi inahitaji mabadiliko ya haraka ya kisiasa. Bila kufanya hivyo, wananchi walio wengi watageuka kuwa vichaa. Maana siyo kwa kupandisha presha huku.
Ingekuwa nchi za wenzetu huko kwa wanaojielewa kwa level hii tu ya inflation rais angeshawekwa kikaangoni
 
Huyo mbunge alipe kodi kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…