Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia ulivyo shallow kwenye taarifa!!Upigaji mkubwa upi? Ripoti ya CAG imefanyaje?
Pili ona ambavyo huna akili,Road fund hawapokei hela TRA Bali zinaingia kwenye account Yao BoT ,Makusanyo ya Road Fund ni Bil.800 ,hizo Bil.800 Zina cover only 40% ya mahitaji,Mimi sio wewe Huwa naongea na data.Soma Bajeti ya Ujenzi utaona.
Kwa hiyo Tuache uchumi wa Nchi uanguke kisa mjinga mmja anaongea pumba? Haiwezi tokea
Mkuu edit hapo... Malizia na "Hapo vipi?!"Kila mbunge akatwe 20mln kwenye vinyoosha mgongo vyao wanavyotarajia karibuni tujenge barabara, tuanzishe mchakato wa katiba mpya,tununue basi za mwendohasi,tumalizie barabara za mwendokasi na sgr🤗
hizi zaa mafuta hazitoshi? Serikali vihiyo, mnakula rushwa kwa wafanyabiashara na kuwatwisha mzigo wa kodi wananchi.
Mbunge wa Viti Maalum Santiel Eric Kirumba ameishauri Serikali kuweka makato ya Tsh. 50 kwa kila laini ya simu kwa ajili ya Mfuko wa Barabara (Road Fund) ili kuuwezesha kuwa na makusanyo yatakayowezesha ujenzi na ukarabati wa barabara Nchini.
Kirumba ameshauri hilo leo May 30,2024 wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2024/25 ambapo ameanza kwa kushauri mfuko huo kubuni njia mpya ya upatikanaji wa fedha.
“Tumekuwa tukisaini barabara mpya kila kukicha barabara kongwe hazipitiki na naendelea kusisitiza Road Fund iangalie chanzo kipya tumeona katika bajeti ya taknolojia na habari walisema laini ambazo ziko active ni milioni 72 sasa ni wakati wa kuona kama ni katika kupitia chanzo cha simu tunaweza kupata kwa kila laini Tsh. 50 ili iweze kuisaidia Road Fund na hili inabidi tuongee ukweli tatizo la kiuzalendo na tunapoendelea mbele tuangalie tunaisaidiaje Road Fund”
PIA SOMA
- Mbunge wa Gairo, Shabiby ataka fedha za bima kwa wote zikatwe kwenye laini za simu
Inangia automatically kwenye lisiti inaonekana ,hiyo pesa Iko reinforced hakuna Cha TRA Wala nani..Angalia ulivyo shallow kwenye taarifa!!
Tra ndio mkusanyaji wa hiyo kodi maana ndiye anayejua mafuta yameingizwa kiasi gani, huko Bot wanapokea fedha kwa mujibu tu wa data za Lita za mafuta yaliyoingia nchini
Kwanini nakuona wewe ni mjinga? Maana umekuja hapa na fixed amount kabisa!! Bil 800!! Kana kwamba volume ya mafuta inayoingizwa ni constant kila mwaka!.
Inaingia automatically bila kujua tax base au siyo?Inangia automatically kwenye lisiti inaonekana ,hiyo pesa Iko reinforced hakuna Cha TRA Wala nani..
Acha utoto pesa Iko around 800s bln,ongezeko sio zaidi ya 10bln Kwa mwaka so ni sahihi kabisa Kutaja hiyo figure.
Hoja ya msingi ni pesa haitoshi
Pumzika store umezidisha matusi badala ya kujibu hojaNdio hivyo utalipa ,utukane au ucheke ,,utake unapigwa usitake unapigwa
Nashauri na wale wa "tuma kwenye namba hii" nao wakatwe kodi!Nilikuwa nataka kulala, ghafla nikaona taarifa kwa Miladiii eti 👇🏽
"Kila laini ikatwe Sh50, kwajili ya matengenezo ya Barabara"
Aisee imenibidi niahirishe kulala kwanza 😥🙌🏽.....NIMELIA SANA
Hawa wajinga hawataki posho zao zikatwe hata kidogoNilikuwa nataka kulala, ghafla nikaona taarifa kwa Miladiii eti 👇🏽
"Kila laini ikatwe Sh50, kwajili ya matengenezo ya Barabara"
Aisee imenibidi niahirishe kulala kwanza 😥🙌🏽.....NIMELIA SANA
MAma yupo seoul atuletee hela na series 4 kali za korea, tbc, itv, star tv na utv wapewe mojamoja kuoneshaWalisemaga DP world atafanya mapato ya Bandari pekee yatosheleze Bajeti ya Nchi
toa chi 50 kua nzalendoNilikuwa nataka kulala, ghafla nikaona taarifa kwa Miladiii eti 👇🏽
"Kila laini ikatwe Sh50, kwajili ya matengenezo ya Barabara"
Aisee imenibidi niahirishe kulala kwanza 😥🙌🏽.....NIMELIA SANA
utawapatia wapi wale sasa 😀Nashauri na wale wa "tuma kwenye namba hii" nao wakatwe kodi!