Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mimi namshauri muheshimiwa Husna ssekiboko apumzike uchaguzi ujao asipate tena nafasi ya ubunge, ni muda sasa tuzione nguo nzuri mitandaoni alizozishona Husna ssekibokoMwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo Husna Sekiboko akizungumza mkoani Dar es Salaam wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 30 tangu kuanzishwa kwa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) amesema yeye baada ya kuhitimu Shahada yake ya kwanza ya ualimu aliamua kwenda VETA kupata ujuzi wa kushona viatu.
"Mimi wakati nimemaliza digrii yangu ya kwanza ya ualimu Mheshimiwa Waziri Mkuu niliamua kwenda VETA na nilikwenda kujifunza nipate ujuzi wa kushona viatu ". amesema Sekiboko
Hawa ni wapuuzi flani waliovimbiwa hela za waamka hoi wanajiropokea tu,aende kuendeleza ufundi wake wa veta aachane na ubunge,shwain kabisa hajui vijana wetu wanavyosota kitaaniNa Ubunge alijifunzia wapi ? π
Wewe engineer safari VETA kuongeza degree nyingine ya mapishi πΉπΉπΉKwahiyo Wakitoka VETA, wanaingia mjengoni kugonga Meza?
Tuelewane mapema, sio wengine wakitoka huko VETA waanze kuranda randa mtaani kusaka ridhiki. Lol
Viongozi wa hii nchi, mshipa wa aibu ulikatika kabisa.
Mxxxiiieeew.
KIWANDA CHA VIATU CHA Mbunge Sekiboko:
Asimulia Alivyomaliza 'Degree' ya Ualimu na Kwenda VETA Kujifunza Kushona Viatu, na kuanzisha kiwanda cha viatu
View: https://m.youtube.com/watch?v=pHN6xrZs_bMWanunuzi wa viatu vya Sekiboko wavionesha uzuru na ubora wake, hakika VETA ina mchango wake katika.. kiwanda cha mbunge Husna Juma Sekiboko kutoka Mlalo Lushoto Tanga nchini Tanzania
Tapeli mkubwaKIWANDA CHA VIATU CHA Mbunge Sekiboko:
Asimulia Alivyomaliza 'Degree' ya Ualimu na Kwenda VETA Kujifunza Kushona Viatu, na kuanzisha kiwanda cha viatu
View: https://m.youtube.com/watch?v=pHN6xrZs_bMWanunuzi wa viatu vya Sekiboko wavionesha uzuru na ubora wake, hakika VETA ina mchango wake katika.. kiwanda cha mbunge Husna Juma Sekiboko kutoka Mlalo Lushoto Tanga nchini Tanzania
Naweza kukuona dm kidogo mkuu, umefunga kwakoWewe engineer safari VETA kuongeza degree nyingine ya mapishi πΉπΉπΉ
Yaan nikajue recipes kabisa, πππππWewe engineer safari VETA kuongeza degree nyingine ya mapishi πΉπΉπΉ
Huyu mama, mimi amenigusa sana!.Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo Husna Sekiboko akizungumza mkoani Dar es Salaam wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 30 tangu kuanzishwa kwa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) amesema yeye baada ya kuhitimu Shahada yake ya kwanza ya ualimu aliamua kwenda VETA kupata ujuzi wa kushona viatu.
Soma: Mbunge Sekiboko: Nilipohitimu Digrii ya Ualimu, nilijifunza kushona viatu VETA
"Mimi wakati nimemaliza digrii yangu ya kwanza ya ualimu Mheshimiwa Waziri Mkuu niliamua kwenda VETA na nilikwenda kujifunza nipate ujuzi wa kushona viatu ". amesema Sekiboko
View attachment 3275026
Wewe ulienda VETA pia Mkuu?Huyu mama, mimi amenigusa!.
P
Mimi ni mtu wa VETA sana, nimesomea fani fulani adimu sana, inaitwa culinary, kwenye culinary, kuna watu wanaitwa tasters, kwenye wine, na coffee, mimi nimesomea kuwa taster wa misosi, napenda sana kutest vyakula mbalimbali na kupata ladha tofauti, tofauti!. Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?Wewe ulienda VETA pia Mkuu?