PreGE2025 Mbunge Sekiboko: Nilipohitimu Digrii ya Ualimu, nilijifunza kushona viatu VETA

PreGE2025 Mbunge Sekiboko: Nilipohitimu Digrii ya Ualimu, nilijifunza kushona viatu VETA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Alisomeaje ualimu wakati hana hata shule ya chekechea yeye na familia yake hana akili mjinga mkubwa

Wahindi mtoto akisoma ualimu mzazi lazima awe na shule au ukoo

Kusoma ni uwekezaji husomi tu kama mwehu

Akili hana
sahihi kabisa, lazima mtoto afanye kazi ya kuendeleza kile baba ameanzisha
 
Kila ijumaa unatuwekea live band wateja wako 😹😹
Kijiwe hakipoi hakiboi ni heya heya, hiya hiya..!!
Vidampa km wote kuchachua wateja, huku wakipeleka biriani kwa watejaa.
😂😂😂😂😂
 
Kwa kuwa elimu ishakuwa ya kipuuzi hakuna thamani yoyote inayoleta picha nzuri mpaka maraisi wa vyuo na wenyewe wanaunga juhudi za kwenda VETA.
 
Sasa ukasoma badala ya kufungua kiwanda cha viatu?.
 
Back
Top Bottom