MBUNGE SEKIBOKO ATOA ELIMU YA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE ZAIDI 1000 TANGA...
View: https://m.youtube.com/watch?v=MBcWf1v1le0
Nishakusoma Mkuu ikiwa VETA wanatoa course adimu Kama hii basi ubunge wa vitu maalumu utanyatiwa kimkakati Sana PM na yeye hayupo nyuma katika kuonja vyakulaMimi ni mtu wa VETA sana, nimesomea fani fulani adimu sana, inaitwa culinary, kwenye culinary, kuna watu wanaitwa tasters, kwenye wine, na coffee, mimi nimesomea kuwa taster wa misosi, napenda sana kutest vyakula mbalimbali na kupata ladha tofauti, tofauti!. Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?
P
Usinikumbushe kuhusu hawa wabunge wa vitu maalum kwa kazi maalum!.Nishakusoma Mkuu ikiwa VETA wanatoa course adimu Kama hii basi ubunge wa vitu maalumu utanyatiwa kimkakati Sana PM na yeye hayupo nyuma katika kuonja vyakula
Ahaaa !! Naelewa SanaUsinikumbeshe hawa wabunge wa vitu maalum kwa kazi maalum!.
P
Ndio maana una mapendo hilooo😁Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo Husna Sekiboko akizungumza mkoani Dar es Salaam wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 30 tangu kuanzishwa kwa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) amesema yeye baada ya kuhitimu Shahada yake ya kwanza ya ualimu aliamua kwenda VETA kupata ujuzi wa kushona viatu.
Soma: Mbunge Sekiboko: Nilipohitimu Digrii ya Ualimu, nilijifunza kushona viatu VETA
"Mimi wakati nimemaliza digrii yangu ya kwanza ya ualimu Mheshimiwa Waziri Mkuu niliamua kwenda VETA na nilikwenda kujifunza nipate ujuzi wa kushona viatu ". amesema Sekiboko
View attachment 3275026
Ila wakati sio milele tena sifikirii kwa sasa bado unaonja vyakula vya kila aina Kama zamaniUsinikumbeshe hawa wabunge wa vitu maalum kwa kazi maalum!.
P
Mwambie ukweli huyu mpumbavu na tapeli mkubwa! Yule kichaa alimsaidia kuiba Kura akashinda kwa wizi!Tapeli mkubwa huyu, kama kushona kuna mlipa kwanini yupo bungeni tena kwa wizi?
watakuwa wanakula sana kitimoto, maana kuna shekhe dr. amesema ukila sana mdudu unakuwa huna haya(aibu)Kwahiyo Wakitoka VETA, wanaingia mjengoni kugonga Meza?
Tuelewane mapema, sio wengine wakitoka huko VETA waanze kuranda randa mtaani kusaka ridhiki. Lol
Viongozi wa hii nchi, mshipa wa aibu ulikatika kabisa.
Mxxxiiieeew.
Kwa sasa nakula kwa macho tuu, kwasababu nimeisha jizeekea, nimekuwa kibogoyo, siwezi tena kutafuna nyama.Ila wakati sio milele tena sifikirii kwa sasa bado unaonja vyakula vya kila aina Kama zamani
😁😁😁 nimeona sehemu unasema unakula maini tu sasa hiviKwa sasa nakula kwa macho tuu, kwasababu nimeisha jizeekea, nimekuwa kibogoyo, siwezi tena kutafuna nyama.
P
Ndio uje kufungua COCA FOOD 😹😹Yaan nikajue recipes kabisa, 😂😂😂😂😂
Ongea tu hapa hapa mkuu..Naweza kukuona dm kidogo mkuu, umefunga kwako
😃😃Nikiongea maneno ya ilove u kwenye kikao Wanaona na Mimi ndo mwenyekiti tumekubaliana mambo mengi sana, Wataona Sina msimamo 🤣Ongea tu hapa hapa mkuu..
cocastic ashazeeka aende VeTa kufanya nnNdio uje kufungua COCA FOOD 😹😹