PreGE2025 Mbunge Sekiboko: Nilipohitimu Digrii ya Ualimu, nilijifunza kushona viatu VETA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
PM kapigilia msumali wa mwisho kwenye jeneza , VETA itaingia kwenye mfumo kama jkt full stop.
 
Nishakusoma Mkuu ikiwa VETA wanatoa course adimu Kama hii basi ubunge wa vitu maalumu utanyatiwa kimkakati Sana PM na yeye hayupo nyuma katika kuonja vyakula
 
Nishakusoma Mkuu ikiwa VETA wanatoa course adimu Kama hii basi ubunge wa vitu maalumu utanyatiwa kimkakati Sana PM na yeye hayupo nyuma katika kuonja vyakula
Usinikumbushe kuhusu hawa wabunge wa vitu maalum kwa kazi maalum!.
Kwanza niliandika hivi. Sehemu ya Pili: Je, Bunge letu tukufu linajipendekeza kwa Serikali?
Kikafuatia hiki Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge
Hatimaye Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge
P
 
Ndio maana una mapendo hilooo😁
 
Kwahiyo Wakitoka VETA, wanaingia mjengoni kugonga Meza?

Tuelewane mapema, sio wengine wakitoka huko VETA waanze kuranda randa mtaani kusaka ridhiki. Lol

Viongozi wa hii nchi, mshipa wa aibu ulikatika kabisa.
Mxxxiiieeew.
watakuwa wanakula sana kitimoto, maana kuna shekhe dr. amesema ukila sana mdudu unakuwa huna haya(aibu)
 
Hapa ndipo napowakubaligi CCM. Hii ishu ya VETA sasa itapambwa kweli kweli kuilinda kauli ya Kasim
 
Ongea tu hapa hapa mkuu..
πŸ˜ƒπŸ˜ƒNikiongea maneno ya ilove u kwenye kikao Wanaona na Mimi ndo mwenyekiti tumekubaliana mambo mengi sana, Wataona Sina msimamo 🀣
 
Ilikuwaje akakimbia kuanzisha goli la viatu akakimbilia kwenye ubunge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…