Veta inaendelea kushika hatamu mjini,hadi mda huu tunaenda mapumzikoni veta 3 digri 0
18 March 2025
Arusha, Tanzania
SHUHUDIA WENYE DEGREE ZAO WALIVYOFURIKA KWA MAKONDA ILI KUJIUNGA NA VETA WAFUNGUKA MAGUMU YA MTAA
View: https://m.youtube.com/watch?v=59KOm9Y8_6U
nyama kupikwa na kukaushwa kisha kutiwa katika vifungashio tayari kwa kuliwa moja kwa moja
πππβοΈβοΈβοΈβοΈHuyu mama, mimi amenigusa sana!.
P
Hiyu kabla alikuwa DAS wilaya ya NachingweaKwahiyo Wakitoka VETA, wanaingia mjengoni kugonga Meza?
Tuelewane mapema, sio wengine wakitoka huko VETA waanze kuranda randa mtaani kusaka ridhiki. Lol
Viongozi wa hii nchi, mshipa wa aibu ulikatika kabisa.
Mxxxiiieeew.
Chuo cha VETA cha Mafunzo ya Hotel na Utalii VHTTI kijiongeze kwa kutoa mafunzo ya kuhifadhi vyakula vya kuvipika, kuvikausha na kuvitia ktk vifungashio vyenye ubora na salama mazao yake ya nyama na samaki kuweza kuliwa na kuuzwa ktk masoko, supermarket, maduka n.kNa sasa wanaenda VETA kupata ujuzi unaoweza kuwafanya wajiajri na kuajiri kupitia kampuni ndogo ndogo watakazoanzisha ziwe sekta ya kilimo kukausha matunda embe, nanasi, nazi, chips kavu za ndizi mkono wa tembo, mbilimbi n.k kisha kuvitia ktk vifungasho
Mazao ya uvuvi na nyama kupikwa na kukaushwa kisha kutiwa katika vifungashio tayari kwa kuliwa moja kwa moja badala ya mazao ya uvuvi na nyama kuharibika vikiwa vibichi.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo Husna Sekiboko akizungumza mkoani Dar es Salaam wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 30 tangu kuanzishwa kwa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) amesema yeye baada ya kuhitimu Shahada yake ya kwanza ya ualimu aliamua kwenda VETA kupata ujuzi wa kushona viatu.
Soma: Mbunge Sekiboko: Nilipohitimu Digrii ya Ualimu, nilijifunza kushona viatu VETA
"Mimi wakati nimemaliza digrii yangu ya kwanza ya ualimu Mheshimiwa Waziri Mkuu niliamua kwenda VETA na nilikwenda kujifunza nipate ujuzi wa kushona viatu ". amesema Sekiboko
View attachment 3275026
Akasomee mapishi na wahitimu wa darasa la sabaππΉπΉπΉ Kujifunza mapishi
Wee em sema kweli? Mbona sikuwahi fahamu kuhusu hili?watakuwa wanakula sana kitimoto, maana kuna shekhe dr. amesema ukila sana mdudu unakuwa huna haya(aibu)
Hapo golini kwangu patawaka hatari, shishi na mashost zake watakoma.Ndio uje kufungua COCA FOOD πΉπΉ
basi anza kufahamu saiziWee em sema kweli? Mbona sikuwahi fahamu kuhusu hili?
Kila ijumaa unatuwekea live band wateja wako πΉπΉHapo golini kwangu patawaka hatari, shishi na mashost zake watakoma.
πππππ