Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Napendekeza Tozo ya Posho kwa kila mtumishi wa Bunge.
Inasikitisha nini sasa na wakati wanaofanya hivi ni wabunge wako wa ccm! Nchi ina raslimali za kila aina! Ila zote mmewaachia wajomba zenu Waarabu, Wachina na mafisadi wachache! Rushwa, upigaji, wizi ufisadi na ubadhirifu wa mali ya umma umekithiri kwenye kila idara ya serikali! Na hakuna anayejali!Inasikitisha sana.
Hii ndiyo hasara ya kutokuwepo kwa uchaguzi ktk nchi hii ya kusadikika. Hawana hofu tena kwa kuwa wanajua hawachaguliwi na wananchi. Mibunge yenye akili za kiquma kama hii ipo mingi sana mle mjengoni.Mbunge wa Tanganyika (CCM), Seleman Kakoso amependekeza Serikali kuongeza tozo kwenye mawasiliano ya simu ili zisaidie kujenga miundombinu ya barabara.
Kakoso ametoa mapendekezo hayo leo Jumatatu April 13, 2026 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu ambapo amedai mpango huo unaweza kukusanya hadi Sh1 trilioni.
"Mheshimiwa mwenyekiti, mimi nina mapendekezo mawili, kwanza Serikali iendelee kudhibiti mapato lakini tukubaliane kuanzisha chanzo kipya cha mapato kwenye muda wa maongezi katika simu zetu," amesema Kakoso.
Soma Pia: TOZO ZA SERIKALI kwenye MIAMALA ya Simu zimerejeshwa tena?
Mwenyekiti huyo wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ametaka Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kuweka tozo ya Sh100 kwenye muda wa maongezi ambayo itasaidia kukusanya zaidi ya Sh1 trilioni.
Amesema fedha hizo zikikusanywa zigawiwe katika mafungu mawili yaani Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (Tarura) na Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) kiasi alichoeleza kitakuwa msaada kwenye matengenezo ya miundombinu.
jamaa ana sura ngumu ile mbayaMbunge wa Tanganyika (CCM), Seleman Kakoso amependekeza Serikali kuongeza tozo kwenye mawasiliano ya simu ili zisaidie kujenga miundombinu ya barabara.
Kakoso ametoa mapendekezo hayo leo Jumatatu April 13, 2026 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu ambapo amedai mpango huo unaweza kukusanya hadi Sh1 trilioni.
"Mheshimiwa mwenyekiti, mimi nina mapendekezo mawili, kwanza Serikali iendelee kudhibiti mapato lakini tukubaliane kuanzisha chanzo kipya cha mapato kwenye muda wa maongezi katika simu zetu," amesema Kakoso.
Soma Pia: TOZO ZA SERIKALI kwenye MIAMALA ya Simu zimerejeshwa tena?
Mwenyekiti huyo wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ametaka Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kuweka tozo ya Sh100 kwenye muda wa maongezi ambayo itasaidia kukusanya zaidi ya Sh1 trilioni.
Amesema fedha hizo zikikusanywa zigawiwe katika mafungu mawili yaani Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (Tarura) na Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) kiasi alichoeleza kitakuwa msaada kwenye matengenezo ya miundombinu.
Inamskikitisha nani wakati kila siku mibunge yenye akili za kiquma kama hili unailamba matako kila kukicha? Punguan wahed!Inasikitisha sana.
Sura yake ni sawa na roho mbaya aliyo nayo huyu mbwa. Watu tunateseka na makali ya mafuta bado vichwa vinauma halafu senge moja linapendekeza tukamuliwe zaidi! Mishoga mingine bhana!jamaa ana sura ngumu ile mbaya
Wapo kutetea matumbo yao washibe wavimbiwe wapate maradhi ya moyo na presha wafe. Amina.Hi vi watu kama hawa wapo humo bungeni kutetea maslahi ya nan wao binafsi au serikali kwanini kusiwe na mapendekezo kupunguza posho na mishahara yao?
Ndio shida ya bunge kuwa la serikali kupitia wizi wa uchaguzi. Wananchi hawana mtetezi huko bungeni maana hakuna wabunge wao huko, ni serikali tu inayotetewa na wabunge wakeMbunge Seleman: Serikali iongeze tozo kwenye mawasiliano ya simu ili kusaidia kujenga barabara
DuhNi haki yake kuongea. Tusimbeze.
Mbona nimekuwa nikiamini wewe ni mtu mwenye akili timamu?Inamskikitisha nani wakati kila siku mibunge yenye akili za kiquma kama hili unailamba matako kila kukicha? Punguan wahed!
Hayo magari ya wabunge ni mikopoKwanini wasikatwe wao asilimia 30 tu ya posho zao za vikao na gharama za mafuta ya mashangingi yao (V8).??
Umeelewa pointi yangu hapo ipo kwenye nini?Hayo magari ya wabunge ni mikopo