Mbunge Shabiby aibua ufisadi wa kutisha EWURA, Waziri wa Nishati Kalemani asema walishavunja mkataba na kampuni fisadi

Mbunge Shabiby aibua ufisadi wa kutisha EWURA, Waziri wa Nishati Kalemani asema walishavunja mkataba na kampuni fisadi

Bora hata ww uliyaona bibi, sasa tuungane kudai katiba mpya itakayotuepusha kuja kutawaliwa kidhalimu tena huko mbeleni.
Katiba sio tatizo. Tatizo, nakubaliana na Gwajima aliyoyaongea leo bungeni, "nchi haina vision"
 
Anasema malaika jiwe kafa kibudu kabla ya aliotaka kuwatanguliza kwa green guard
AstraZeneca inasababisha damu, hasa ya kwenye ubongo, kuganda. No matter madalali wake mpo hivi.
 
Watu wanaitafuna sana hii nchi huku wengine wakiishia kupewa t shirts na kofia
 
Tutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.

Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.
Mamangu nimekumiss hadi nikakuuliza .
Kwani ulitishwa ?
Siwaoni wana jukwaa hawa tokea mwaka huu uanze wa 2021, haikuwa kawaida yao, je wako wapi?.
 
Tutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.

Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.
Kumbe ulitishwa

Ulipotea hadi nikakuuliza .
Karibu tena madam.
 
Aisee EWURA wanipe na mimi mkataba wa hata kabilioni moja kwa mwezi wa kupulizia moshi wa bangi kwenye mafuta, huwa unafanya gari zikimbie haraka zaidi....
 
Back
Top Bottom