Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka utopolo waanze kuwa omba ombaMBUNGE wa Babati Vijijini, Daniel Sillo Baran ameliomba Bunge liazimie watu wote waliohusika na kashfa ya kuruhusu kufanyika malipo ya shilingi Bilioni 350 kwa Kampuni ya Symbion Power LLC wachukuliwe hatua za kisheria kwa kufanya ubadhirifu huo ili iwe fundisho kwa wengine.
"Malipo yaliyofanywa na TANESCO kwa Symbion takriban bilioni 350 fedha hizi ni nyingi sana, Leo tunalia miradi ya barabara, maji kwenye majimbo yetu, nishati ya umeme haipo lakini wenzetu ambao wamepewa dhamana kusimamia fedha za umma wanachezea fedha wawe na uchungu na watanzania.
Mbunge huyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti amesema hayo leo Novemba 5, 2022 Bungeni wakati akichangia Taarifa za Kamati za Bunge za PAC, LAAC na PIC kuwa viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia fedha za umma wawe wanatembea vijijini kuona hali halisi ya maisha ya watanzania, tukumbuke hizi ni kodi za watanzania, tunakaa Bunge hapa miezi mitatu tunapanga bajeti, watu wachache wanakaa wanachezea fedha za umma jambo hili linaumiza sana
“Tuna miradi mingi ya kimkakati inahitaji fedha, tuna deni la Serikali linataka fedha tulipe watanzania wanashida ya maji tuna shida ya nishati ya umeme vijijini lakini wako wenzetu wameamua kucheza na fedha za umma naomba Bunge lako tukufu liazimie kuwachukulia hatua wote waliohusika na ubadhirifu wa fedha za uuma ili iwe fundisho kwa wengine sisi ni wawakilishi wa wananchi tunaelewa uhalisia wa wananchi kule” Amesema Mhe. Baran
View attachment 2407434
Bunge la chama kimoja [emoji2][emoji2]MBUNGE wa Babati Vijijini, Daniel Sillo Baran ameliomba Bunge liazimie watu wote waliohusika na kashfa ya kuruhusu kufanyika malipo ya shilingi Bilioni 350 kwa Kampuni ya Symbion Power LLC wachukuliwe hatua za kisheria kwa kufanya ubadhirifu huo ili iwe fundisho kwa wengine.
"Malipo yaliyofanywa na TANESCO kwa Symbion takriban bilioni 350 fedha hizi ni nyingi sana, Leo tunalia miradi ya barabara, maji kwenye majimbo yetu, nishati ya umeme haipo lakini wenzetu ambao wamepewa dhamana kusimamia fedha za umma wanachezea fedha wawe na uchungu na watanzania.
Mbunge huyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti amesema hayo leo Novemba 5, 2022 Bungeni wakati akichangia Taarifa za Kamati za Bunge za PAC, LAAC na PIC kuwa viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia fedha za umma wawe wanatembea vijijini kuona hali halisi ya maisha ya watanzania, tukumbuke hizi ni kodi za watanzania, tunakaa Bunge hapa miezi mitatu tunapanga bajeti, watu wachache wanakaa wanachezea fedha za umma jambo hili linaumiza sana
“Tuna miradi mingi ya kimkakati inahitaji fedha, tuna deni la Serikali linataka fedha tulipe watanzania wanashida ya maji tuna shida ya nishati ya umeme vijijini lakini wako wenzetu wameamua kucheza na fedha za umma naomba Bunge lako tukufu liazimie kuwachukulia hatua wote waliohusika na ubadhirifu wa fedha za uuma ili iwe fundisho kwa wengine sisi ni wawakilishi wa wananchi tunaelewa uhalisia wa wananchi kule” Amesema Mhe. Baran
View attachment 2407434
Tanzania ni jalala haki ya Nani!Kama unadaiwa kulipia deni ni uungwana. Nakumbuka kuwa Symbion alikuwa na mkataba wa ku-supply umeme kwa TANESCO kupitia mitambo yao waliyoinunua kwa DOWANS kipindi JK ndiye Rais.
Lakini alipokuja Magufuli alikuwa na dhana kuwa kila mkataba wa TANESCO ni wa wapigaji hivyo akavunja mkataba bila kufuata taratibu. Wenyewe walifungua mashtaka kwenye vyombo vya kimataifa na wakshinda kipindi hicho hicho cha Magufuli.
Suala la kulipa siyo OPTION bali ni lazima. Hata kama Magufuli angekuwa hai angelipa tu kama alivyomlipa mkulima wa South Africa Hermanus Steyn ambaye alishika ndege zetu kule Canada.
Mwambieni mbunge Daniel Sillo anywe maji baridi atulie ili akili imkae sawa
Mkataba haukuvunjwa, ulikuwa umeisha hivyo haukua renewed.Kama unadaiwa kulipia deni ni uungwana. Nakumbuka kuwa Symbion alikuwa na mkataba wa ku-supply umeme kwa TANESCO kupitia mitambo yao waliyoinunua kwa DOWANS kipindi JK ndiye Rais.
Lakini alipokuja Magufuli alikuwa na dhana kuwa kila mkataba wa TANESCO ni wa wapigaji hivyo akavunja mkataba bila kufuata taratibu. Wenyewe walifungua mashtaka kwenye vyombo vya kimataifa na wakshinda kipindi hicho hicho cha Magufuli.
Suala la kulipa siyo OPTION bali ni lazima. Hata kama Magufuli angekuwa hai angelipa tu kama alivyomlipa mkulima wa South Africa Hermanus Steyn ambaye alishika ndege zetu kule Canada.
Mwambieni mbunge Daniel Sillo anywe maji baridi atulie ili akili imkae sawa
Aliyelipa si ndo raisi mwenyewe. 350b ni hela ndefu sana haiweziMBUNGE wa Babati Vijijini, Daniel Sillo Baran ameliomba Bunge liazimie watu wote waliohusika na kashfa ya kuruhusu kufanyika malipo ya shilingi Bilioni 350 kwa Kampuni ya Symbion Power LLC wachukuliwe hatua za kisheria kwa kufanya ubadhirifu huo ili iwe fundisho kwa wengine.
"Malipo yaliyofanywa na TANESCO kwa Symbion takriban bilioni 350 fedha hizi ni nyingi sana, Leo tunalia miradi ya barabara, maji kwenye majimbo yetu, nishati ya umeme haipo lakini wenzetu ambao wamepewa dhamana kusimamia fedha za umma wanachezea fedha wawe na uchungu na watanzania.
Mbunge huyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti amesema hayo leo Novemba 5, 2022 Bungeni wakati akichangia Taarifa za Kamati za Bunge za PAC, LAAC na PIC kuwa viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia fedha za umma wawe wanatembea vijijini kuona hali halisi ya maisha ya watanzania, tukumbuke hizi ni kodi za watanzania, tunakaa Bunge hapa miezi mitatu tunapanga bajeti, watu wachache wanakaa wanachezea fedha za umma jambo hili linaumiza sana
“Tuna miradi mingi ya kimkakati inahitaji fedha, tuna deni la Serikali linataka fedha tulipe watanzania wanashida ya maji tuna shida ya nishati ya umeme vijijini lakini wako wenzetu wameamua kucheza na fedha za umma naomba Bunge lako tukufu liazimie kuwachukulia hatua wote waliohusika na ubadhirifu wa fedha za uuma ili iwe fundisho kwa wengine sisi ni wawakilishi wa wananchi tunaelewa uhalisia wa wananchi kule” Amesema Mhe. Baran
View attachment 2407434
Wew unafikiri kwa nini makamba amepewa hiyo wizara. Amna jinsi hiyo hela italipwa bila raisi kufuham ndugu achakukitoa ufahamMkataba haukuvunjwa, ulikuwa umeisha hivyo haukua renewed.
Kosa lilipofanyika ni serikali kutoweka pingamizi ya ile kesi badala yake pesa ikalipwa faster,
Kuna watu wanamchukulia poa raisi, naamini hili hatalikalia kimya lazima kuna kitu atafanya
Unabwabwaja tu! Watu wanauliza kwa nini walitoa haraka haraka bila kukata kodi. Hilo ndilo la msingiKama unadaiwa kulipia deni ni uungwana. Nakumbuka kuwa Symbion alikuwa na mkataba wa ku-supply umeme kwa TANESCO kupitia mitambo yao waliyoinunua kwa DOWANS kipindi JK ndiye Rais.
Lakini alipokuja Magufuli alikuwa na dhana kuwa kila mkataba wa TANESCO ni wa wapigaji hivyo akavunja mkataba bila kufuata taratibu. Wenyewe walifungua mashtaka kwenye vyombo vya kimataifa na wakshinda kipindi hicho hicho cha Magufuli.
Suala la kulipa siyo OPTION bali ni lazima. Hata kama Magufuli angekuwa hai angelipa tu kama alivyomlipa mkulima wa South Africa Hermanus Steyn ambaye alishika ndege zetu kule Canada.
Mwambieni mbunge Daniel Sillo anywe maji baridi atulie ili akili imkae sawa
Tunaomba wabunge wengi waunge mkono wawajibishwe wote waliohudika na fedha zirudishweMBUNGE wa Babati Vijijini, Daniel Sillo Baran ameliomba Bunge liazimie watu wote waliohusika na kashfa ya kuruhusu kufanyika malipo ya shilingi Bilioni 350 kwa Kampuni ya Symbion Power LLC wachukuliwe hatua za kisheria kwa kufanya ubadhirifu huo ili iwe fundisho kwa wengine.
"Malipo yaliyofanywa na TANESCO kwa Symbion takriban bilioni 350 fedha hizi ni nyingi sana, Leo tunalia miradi ya barabara, maji kwenye majimbo yetu, nishati ya umeme haipo lakini wenzetu ambao wamepewa dhamana kusimamia fedha za umma wanachezea fedha wawe na uchungu na watanzania.
Mbunge huyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti amesema hayo leo Novemba 5, 2022 Bungeni wakati akichangia Taarifa za Kamati za Bunge za PAC, LAAC na PIC kuwa viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia fedha za umma wawe wanatembea vijijini kuona hali halisi ya maisha ya watanzania, tukumbuke hizi ni kodi za watanzania, tunakaa Bunge hapa miezi mitatu tunapanga bajeti, watu wachache wanakaa wanachezea fedha za umma jambo hili linaumiza sana
“Tuna miradi mingi ya kimkakati inahitaji fedha, tuna deni la Serikali linataka fedha tulipe watanzania wanashida ya maji tuna shida ya nishati ya umeme vijijini lakini wako wenzetu wameamua kucheza na fedha za umma naomba Bunge lako tukufu liazimie kuwachukulia hatua wote waliohusika na ubadhirifu wa fedha za uuma ili iwe fundisho kwa wengine sisi ni wawakilishi wa wananchi tunaelewa uhalisia wa wananchi kule” Amesema Mhe. Baran
View attachment 2407434
acha uongo mkuu sakata hilo siyo wewe unalejuwa wengi tunalijuwa vizuri hiyo kesi walioshinda weka hapa tuijue !hizo pesa tunajuwa zimelipwa bila utatatibu wowoteKama unadaiwa kulipia deni ni uungwana. Nakumbuka kuwa Symbion alikuwa na mkataba wa ku-supply umeme kwa TANESCO kupitia mitambo yao waliyoinunua kwa DOWANS kipindi JK ndiye Rais.
Lakini alipokuja Magufuli alikuwa na dhana kuwa kila mkataba wa TANESCO ni wa wapigaji hivyo akavunja mkataba bila kufuata taratibu. Wenyewe walifungua mashtaka kwenye vyombo vya kimataifa na wakshinda kipindi hicho hicho cha Magufuli.
Suala la kulipa siyo OPTION bali ni lazima. Hata kama Magufuli angekuwa hai angelipa tu kama alivyomlipa mkulima wa South Africa Hermanus Steyn ambaye alishika ndege zetu kule Canada.
Mwambieni mbunge Daniel Sillo anywe maji baridi atulie ili akili imkae sawa
mwananyaso ni Mshenzi Mkubwa mtoto wa Malaya unajuwa matusi tu hata baba yako humjui. Twende tupambane kwa hoja siyo kwa matusiWewe ni utoko halisi
Nchi ilirudi kwa wenyewe mwezi wa tatu na kabla miezi 2 kupita kiasi hicho kikalipwa bila woga kwa sababu wenyewe hawana uchungu na nchi hii. Kwa kifupi nchi imerudia kuwa shamba la bibiMove nzuri,wajitokeze wengi,asiachiwe huyu na Luhaga Mpina peke yake,hizi ndio kazi za wabunge wananchi tunahitaji bunge lizifanye
Kwani zililipwa lini hizo ngawira? 350b, Makamba anatukomoa!!!MBUNGE wa Babati Vijijini, Daniel Sillo Baran ameliomba Bunge liazimie watu wote waliohusika na kashfa ya kuruhusu kufanyika malipo ya shilingi Bilioni 350 kwa Kampuni ya Symbion Power LLC wachukuliwe hatua za kisheria kwa kufanya ubadhirifu huo ili iwe fundisho kwa wengine.
"Malipo yaliyofanywa na TANESCO kwa Symbion takriban bilioni 350 fedha hizi ni nyingi sana, Leo tunalia miradi ya barabara, maji kwenye majimbo yetu, nishati ya umeme haipo lakini wenzetu ambao wamepewa dhamana kusimamia fedha za umma wanachezea fedha wawe na uchungu na watanzania.
Mbunge huyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti amesema hayo leo Novemba 5, 2022 Bungeni wakati akichangia Taarifa za Kamati za Bunge za PAC, LAAC na PIC kuwa viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia fedha za umma wawe wanatembea vijijini kuona hali halisi ya maisha ya watanzania, tukumbuke hizi ni kodi za watanzania, tunakaa Bunge hapa miezi mitatu tunapanga bajeti, watu wachache wanakaa wanachezea fedha za umma jambo hili linaumiza sana
“Tuna miradi mingi ya kimkakati inahitaji fedha, tuna deni la Serikali linataka fedha tulipe watanzania wanashida ya maji tuna shida ya nishati ya umeme vijijini lakini wako wenzetu wameamua kucheza na fedha za umma naomba Bunge lako tukufu liazimie kuwachukulia hatua wote waliohusika na ubadhirifu wa fedha za uuma ili iwe fundisho kwa wengine sisi ni wawakilishi wa wananchi tunaelewa uhalisia wa wananchi kule” Amesema Mhe. Baran
View attachment 2407434
Umesahau kuwa msoga ndio anaendesha nchBunge halina meno vinginevyo kashfa hii ilitakiwa serikali nzima iachiwe ngazi. Hakuna namna pesa kubwa kiasi hicho inaweza kutoka bila kibali cha ikulu
Endelea kujidanganya, nchi ina marais wawili, mmoja ni kikaragosi wa mwingine. Kikaragosi hakuna kinachojua. Endelea kujidanganya.Mkataba haukuvunjwa, ulikuwa umeisha hivyo haukua renewed.