Mbunge Sillo ataka waliolipa Kampuni ya Symbion Bilioni 350 wawajibishwe haraka

Mbunge Sillo ataka waliolipa Kampuni ya Symbion Bilioni 350 wawajibishwe haraka

Nchi ilirudi kwa wenyewe mwezi wa tatu na kabla miezi 2 kupita kiasi hicho kikalipwa bila woga kwa sababu wenyewe hawana uchungu na nchi hii. Kwa kifupi nchi imerudia kuwa shamba la bibi
Huu ni ukweli mchungu sana aisee!
 
Kama unadaiwa kulipia deni ni uungwana. Nakumbuka kuwa Symbion alikuwa na mkataba wa ku-supply umeme kwa TANESCO kupitia mitambo yao waliyoinunua kwa DOWANS kipindi JK ndiye Rais.

Lakini alipokuja Magufuli alikuwa na dhana kuwa kila mkataba wa TANESCO ni wa wapigaji hivyo akavunja mkataba bila kufuata taratibu. Wenyewe walifungua mashtaka kwenye vyombo vya kimataifa na wakshinda kipindi hicho hicho cha Magufuli.

Suala la kulipa siyo OPTION bali ni lazima. Hata kama Magufuli angekuwa hai angelipa tu kama alivyomlipa mkulima wa South Africa Hermanus Steyn ambaye alishika ndege zetu kule Canada.

Mwambieni mbunge Daniel Sillo anywe maji baridi atulie ili akili imkae sawa
Wewe empty brain nyamaza,hujui unachokiongea zaidi ya kutumia matak* kufikiri.

Unaongea as if hiyo hela ni ya bure na sio itokanayo na kodi za watanzania maskini.

Ulivyo mjinga unakazania habari ya Magufuli hapo, wakati pesa hiyo imelipwa yote bila kukatwa kodi ya serikali kupitia TRA.

Halafu unajamba upuuzi kama huo cheti fake wewe!
IMG-20221104-WA0008.jpg
 
Hayo yalipita na Magufuli. Sasa tunaanza kuzalisha Majizi mapya
 
Unabwabwaja tu! Watu wanauliza kwa nini walitoa haraka haraka bila kukata kodi. Hilo ndilo la msingi
Je deni ni halali au siyo halali? Katika hizo Tsh 356 Billion ngapi ni kodi? Maana tunahemuka na figure yote ndiyo maana kuna taharuki
Wewe empty brain nyamaza,hujui unachokiongea zaidi ya kutumia matak* kufikiri.

Unaongea as if hiyo hela ni ya bure na sio itokanayo na kodi za watanzania maskini.

Ulivyo mjinga unakazania habari ya Magufuli hapo, wakati pesa hiyo imelipwa yote bila kukatwa kodi ya serikali kupitia TRA.

Halafu unajamba upuuzi kama huo cheti fake wewe!View attachment 2407939
Kwa hiyo wewe mapumbu unajiona wa maana kuliko matako? Deni lilikuwapo au halikuwapo?
 
MBUNGE wa Babati Vijijini, Daniel Sillo Baran ameliomba Bunge liazimie watu wote waliohusika na kashfa ya kuruhusu kufanyika malipo ya shilingi Bilioni 350 kwa Kampuni ya Symbion Power LLC wachukuliwe hatua za kisheria kwa kufanya ubadhirifu huo ili iwe fundisho kwa wengine.

"Malipo yaliyofanywa na TANESCO kwa Symbion takriban bilioni 350 fedha hizi ni nyingi sana, Leo tunalia miradi ya barabara, maji kwenye majimbo yetu, nishati ya umeme haipo lakini wenzetu ambao wamepewa dhamana kusimamia fedha za umma wanachezea fedha wawe na uchungu na watanzania.

Mbunge huyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti amesema hayo leo Novemba 5, 2022 Bungeni wakati akichangia Taarifa za Kamati za Bunge za PAC, LAAC na PIC kuwa viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia fedha za umma wawe wanatembea vijijini kuona hali halisi ya maisha ya watanzania, tukumbuke hizi ni kodi za watanzania, tunakaa Bunge hapa miezi mitatu tunapanga bajeti, watu wachache wanakaa wanachezea fedha za umma jambo hili linaumiza sana

“Tuna miradi mingi ya kimkakati inahitaji fedha, tuna deni la Serikali linataka fedha tulipe watanzania wanashida ya maji tuna shida ya nishati ya umeme vijijini lakini wako wenzetu wameamua kucheza na fedha za umma naomba Bunge lako tukufu liazimie kuwachukulia hatua wote waliohusika na ubadhirifu wa fedha za uuma ili iwe fundisho kwa wengine sisi ni wawakilishi wa wananchi tunaelewa uhalisia wa wananchi kule” Amesema Mhe. Baran

View attachment 2407434
Tunakoelekea 2025 kuna siku hata Wabunge wa ccm watamkata Samia trust me.
Vilio vya hali ngumu ya uchumi ni ngumu kumuuza Samua uraiani na hakubaliki na hakuna namna akubalike.
Wizi, ufisadi umezidi ule wa mwaka 2015.
 
Back
Top Bottom