Mbunge Sillo ataka waliolipa Kampuni ya Symbion Bilioni 350 wawajibishwe haraka

Na wafanyakazi waliyokuwa huko washalipwa

Ova
 
Unataka utopolo waanze kuwa omba omba
 
Bunge la chama kimoja [emoji2][emoji2]
 
Tanzania ni jalala haki ya Nani!

Kila aina ya takataka utaikuta bongo!

Haya bhana!
 
Mwambieni Mbunge ilo wazo lake haliwezekani,ni sawa na sawa na Waziri Mkuu wa Uingereza kuishitaki familia ya Ufalme wa Uingereza equivalent to Samia Adminstration suing Msoga Kingdom!
 
Mkataba haukuvunjwa, ulikuwa umeisha hivyo haukua renewed.

Kosa lilipofanyika ni serikali kutoweka pingamizi ya ile kesi badala yake pesa ikalipwa faster,
Kuna watu wanamchukulia poa raisi, naamini hili hatalikalia kimya lazima kuna kitu atafanya
 
Aliyelipa si ndo raisi mwenyewe. 350b ni hela ndefu sana haiwezi
Kutoka bila raisi kujua
 
Mkataba haukuvunjwa, ulikuwa umeisha hivyo haukua renewed.

Kosa lilipofanyika ni serikali kutoweka pingamizi ya ile kesi badala yake pesa ikalipwa faster,
Kuna watu wanamchukulia poa raisi, naamini hili hatalikalia kimya lazima kuna kitu atafanya
Wew unafikiri kwa nini makamba amepewa hiyo wizara. Amna jinsi hiyo hela italipwa bila raisi kufuham ndugu achakukitoa ufaham
 
Unabwabwaja tu! Watu wanauliza kwa nini walitoa haraka haraka bila kukata kodi. Hilo ndilo la msingi
 
Daniel Aache Ujanja Wake Kwanza Ni Mbunge Kwa Hisani Ya Jiwe
Hata Hivyo Hayo Ccm Ndiyo Makandokando Yao Kila Siku
 
Tunaomba wabunge wengi waunge mkono wawajibishwe wote waliohudika na fedha zirudishwe
 
acha uongo mkuu sakata hilo siyo wewe unalejuwa wengi tunalijuwa vizuri hiyo kesi walioshinda weka hapa tuijue !hizo pesa tunajuwa zimelipwa bila utatatibu wowote
 
Move nzuri,wajitokeze wengi,asiachiwe huyu na Luhaga Mpina peke yake,hizi ndio kazi za wabunge wananchi tunahitaji bunge lizifanye
Nchi ilirudi kwa wenyewe mwezi wa tatu na kabla miezi 2 kupita kiasi hicho kikalipwa bila woga kwa sababu wenyewe hawana uchungu na nchi hii. Kwa kifupi nchi imerudia kuwa shamba la bibi
 
Kwani zililipwa lini hizo ngawira? 350b, Makamba anatukomoa!!!
 
Bunge halina meno vinginevyo kashfa hii ilitakiwa serikali nzima iachiwe ngazi. Hakuna namna pesa kubwa kiasi hicho inaweza kutoka bila kibali cha ikulu
Umesahau kuwa msoga ndio anaendesha nch
Mkataba haukuvunjwa, ulikuwa umeisha hivyo haukua renewed.

Kosa lilipofanyika ni serikali kutoweka pingamizi ya ile kesi badala yake pesa ikalipwa faster,
Kuna watu wanamchukulia poa raisi, naamini hili hatalikalia kimya lazima kuna kitu atafanya
Endelea kujidanganya, nchi ina marais wawili, mmoja ni kikaragosi wa mwingine. Kikaragosi hakuna kinachojua. Endelea kujidanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…