Mbunge Sillo ataka waliolipa Kampuni ya Symbion Bilioni 350 wawajibishwe haraka

Nchi ilirudi kwa wenyewe mwezi wa tatu na kabla miezi 2 kupita kiasi hicho kikalipwa bila woga kwa sababu wenyewe hawana uchungu na nchi hii. Kwa kifupi nchi imerudia kuwa shamba la bibi
Huu ni ukweli mchungu sana aisee!
 
Wewe empty brain nyamaza,hujui unachokiongea zaidi ya kutumia matak* kufikiri.

Unaongea as if hiyo hela ni ya bure na sio itokanayo na kodi za watanzania maskini.

Ulivyo mjinga unakazania habari ya Magufuli hapo, wakati pesa hiyo imelipwa yote bila kukatwa kodi ya serikali kupitia TRA.

Halafu unajamba upuuzi kama huo cheti fake wewe!
 
Hayo yalipita na Magufuli. Sasa tunaanza kuzalisha Majizi mapya
 
Unabwabwaja tu! Watu wanauliza kwa nini walitoa haraka haraka bila kukata kodi. Hilo ndilo la msingi
Je deni ni halali au siyo halali? Katika hizo Tsh 356 Billion ngapi ni kodi? Maana tunahemuka na figure yote ndiyo maana kuna taharuki
Kwa hiyo wewe mapumbu unajiona wa maana kuliko matako? Deni lilikuwapo au halikuwapo?
 
Tunakoelekea 2025 kuna siku hata Wabunge wa ccm watamkata Samia trust me.
Vilio vya hali ngumu ya uchumi ni ngumu kumuuza Samua uraiani na hakubaliki na hakuna namna akubalike.
Wizi, ufisadi umezidi ule wa mwaka 2015.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…