Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Upo na watu wenye sifa ya darasa la nne na ziada ya kujua kusoma na kuandika tu,je hao hata zijae mvi hadi kwenye kope hawawezi kuwa watu qazima hivyo hakuna aliye kuelewa!Mbunge wa Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu, Simai Mohammed Said akihojiwa na waandishi wa habari baada ya kupitisha bajeti kuu ya Serikali leo Juni 23, amekwepa kumtaja Yuda msaliti aliyeko Serikali, na kusema kuwa watu wazima tayari walishaelewa tafsiri yake
Pia soma Mbunge Simai: Kuna Yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani
Anasema, Nilichokisema Juni mbili. Mimi nafikiri kwanza Watanzania wengi, na nyinyi ni watu wazima, mtakuwa mmenifahamu. Tafsiri ya jambo lile nafikiri Watanzania wamenifahamu na wamenielewa vizuri.
Jambo lililozungumzwa huko nyuma ni jambo ambalo lilishapita. Kama nilivyosema, Watanzania, ni watu wazima, wamenifahamu na tafsiri yake. Kwa hiyo sasa hivi tunachokiangalia ni utekelezaji wa bajeti, kuweza kumsaidia Rais na kuishauri Serikali, na niombe Watanzania sasa tusonge mbele.
Asanteni sana."
View attachment 3614018
Mbunge wa Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu, Simai Mohammed Said akihojiwa na waandishi wa habari baada ya kupitisha bajeti kuu ya Serikali leo Juni 23, amekwepa kumtaja Yuda msaliti aliyeko Serikali, na kusema kuwa watu wazima tayari walishaelewa tafsiri yake

Kumbe kasoma Ilboru!View attachment 3614018

Yaani Amekaza Anajibu Mapigo Bila Woga Wowote UleKwa hiyo anazidi kukazia kuwa Makamu wa Rais Dr. Emmanuel Nchimbi anamsaliti Rais Samia, huyu kweli amedhamiria.
Huyu anawakilisha ujumbe toka Tunguu, hawezi kujiamini namna hii kama hana kinga kubwa kuliko zote.Yaani Amekaza Anajibu Mapigo Bila Woga Wowote Ule
Wajitahidi Kumkalisha Chap
Nchimbi ni simba wa yudaKwa hiyo anazidi kukazia kuwa Makamu wa Rais Dr. Emmanuel Nchimbi anamsaliti Rais Samia, huyu kweli amedhamiria.
Uzuri wake Yeye mwenyewe amesema tunafahamu, ulichosema sicho alichomaanisha.... Yule mtoto anaweza kuchukua nafasi yake.Kuna yuda za aina mbili
1. Simba wa Yuda
2. Yuda eskariote
Yuda aliyelengwa na simai ni Tundu Lissu na kila mtanzania anamfahamu Lissu ni yuda eskariote
Watu mna siri kweli kweli hivi kumbe Lissu naye yuko kwenye serikali ya Samia na hamjasema !!!Kuna yuda za aina mbili
1. Simba wa Yuda
2. Yuda eskariote
Yuda aliyelengwa na simai ni Tundu Lissu na kila mtanzania anamfahamu Lissu ni yuda eskariote
Huyu anataka kuwafanya watu hawana akiliWatu mna siri kweli kweli hivi kumbe Lissu naye yuko kwenye serikali ya Samia na hamjasema !!!
Tena toka juu kabisa.Ile minong'ono ya watu kuwa nyuma ya pazia wapo wazito wanaomsukuma kusema haya naanza kuiamini sasa.
Amesema amesoma "LIBORO" Arusha 🙂 🙂Kumbe kasoma Ilboru!
Amandla...