King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 2,374
- 3,311
Afadhali yangu mimi, wewe ni jagina kabisa tena unafaa kuchakatwaOna hili chokoo

Imethibitishwa na kauli yake leo, uso mkavu na anajiamini kupita kiasiTena toka juu kabisa.
Ni kweli tumemuelewa kuwa Nchimbi anataka kumpindua boss wake.
Msioelewa nchi hii kuna vuta ni kuvute kati ya viongozi wazalendo na viongozi wapigaji. Mwendo wa kimagufuli uliwapa pigo kubwa wapigaji ambao mwisho wakafanikiwa kumuengua magufuli kwa njia wanajua wenyewe. Wameapiza kwamba siasa na falsafa ya uongozi nchini kamwe mwendo wa kimagufuli usipewe nafasi. Wasichojua chama wanachokitumia falsafa yake na malengo ndio umagufuli. Lazima washindwe kwa sababu wajamaa watachukua chama chao cha mapinduzi ama sivyo patachimbika.
Mbunge wa Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu, Simai Mohammed Said akihojiwa na waandishi wa habari baada ya kupitisha bajeti kuu ya Serikali leo Juni 23, amekwepa kumtaja Yuda msaliti aliyeko Serikali, na kusema kuwa watu wazima tayari walishaelewa tafsiri yake
Pia soma Mbunge Simai: Kuna Yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani
Anasema, Nilichokisema Juni mbili. Mimi nafikiri kwanza Watanzania wengi, na nyinyi ni watu wazima, mtakuwa mmenifahamu. Tafsiri ya jambo lile nafikiri Watanzania wamenifahamu na wamenielewa vizuri.
Jambo lililozungumzwa huko nyuma ni jambo ambalo lilishapita. Kama nilivyosema, Watanzania, ni watu wazima, wamenifahamu na tafsiri yake. Kwa hiyo sasa hivi tunachokiangalia ni utekelezaji wa bajeti, kuweza kumsaidia Rais na kuishauri Serikali, na niombe Watanzania sasa tusonge mbele.
Asanteni sana."

Hivi unatumia akili ulizonazo kufikiri? Lissu yupo serikalini tangu lini? Au kule ngomeni ukonga alikofungiwa ni ikulu au bungeni?Kuna yuda za aina mbili
1. Simba wa Yuda
2. Yuda eskariote
Yuda aliyelengwa na simai ni Tundu Lissu na kila mtanzania anamfahamu Lissu ni yuda eskariote
Kqmq sio lissu, Basi atakuwa ni simba wa yudaHivi unatumia akili ulizonazo kufikiri? Lissu yupo serikalini tangu lini? Au kule ngomeni ukonga alikofungiwa ni ikulu au bungeni?
Ushakuwa mtu mzima jielewe kama alivyosema simai!
😁😁Hivi unatumia akili ulizonazo kufikiri? Lissu yupo serikalini tangu lini? Au kule ngomeni ukonga alikofungiwa ni ikulu au bungeni?
Ushakuwa mtu mzima jielewe kama alivyosema simai!
Sasa lissu yupo serikalini? Aisee kwanini mzee wako alimwagia ndani?Kuna yuda za aina mbili