Mbunge Simai: Kauli ya 'Yuda Serikalini', watu wazima walinielewa

Your browser is not able to display this video.
 
Watanzani Wepi!??
Amekuelewa nani!?
Tumekufahamu vipii!??
 
The lion of judah ni king haille selasie I
H.I.M
Hao wengine ni mafisi tu!
 
Msioelewa nchi hii kuna vuta ni kuvute kati ya viongozi wazalendo na viongozi wapigaji. Mwendo wa kimagufuli uliwapa pigo kubwa wapigaji ambao mwisho wakafanikiwa kumuengua magufuli kwa njia wanajua wenyewe. Wameapiza kwamba siasa na falsafa ya uongozi nchini kamwe mwendo wa kimagufuli usipewe nafasi. Wasichojua chama wanachokitumia falsafa yake na malengo ndio umagufuli. Lazima washindwe kwa sababu wajamaa watachukua chama chao cha mapinduzi ama sivyo patachimbika.
Watanzania hawakubali sera sizizobeba maslahi ya umma wa raia zake. Yeyeto mwenye kuja na falsafa za ubinafsi atashindwa tu.
 
Msioelewa nchi hii kuna vuta ni kuvute kati ya viongozi wazalendo na viongozi wapigaji. Mwendo wa kimagufuli uliwapa pigo kubwa wapigaji ambao mwisho wakafanikiwa kumuengua magufuli kwa njia wanajua wenyewe. Wameapiza kwamba siasa na falsafa ya uongozi nchini kamwe mwendo wa kimagufuli usipewe nafasi. Wasichojua chama wanachokitumia falsafa yake na malengo ndio umagufuli. Lazima washindwe kwa sababu wajamaa watachukua chama chao cha mapinduzi ama sivyo patachimbika.
Watanzania hawakubali sera sizizobeba maslahi ya umma wa raia. Yeyeto mwenye kuja na falsafa za kupambania maslahi ya kigeni na ubinafsi atashindwa tu.
 
Kuna yuda za aina mbili
1. Simba wa Yuda
2. Yuda eskariote
Yuda aliyelengwa na simai ni Tundu Lissu na kila mtanzania anamfahamu Lissu ni yuda eskariote
Hivi unatumia akili ulizonazo kufikiri? Lissu yupo serikalini tangu lini? Au kule ngomeni ukonga alikofungiwa ni ikulu au bungeni?
Ushakuwa mtu mzima jielewe kama alivyosema simai!
 
Kqmq sio lissu, Basi atakuwa ni simba wa yuda
 
Hivi unatumia akili ulizonazo kufikiri? Lissu yupo serikalini tangu lini? Au kule ngomeni ukonga alikofungiwa ni ikulu au bungeni?
Ushakuwa mtu mzima jielewe kama alivyosema simai!
😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…