Naunga mkono hoja π.Tena wadinywe bila kinga washenz hawa.
Kumbe yeye ndiye kamtoa JanuaryMnara wa babeli!
Walidhani wametukomoa sisi ,kumbe kila mmoja anawaza lake!
Na ndio kwanza safari yao iko mwezi wa 8 tangu wainze! Wameanza kuitana majina mabayaππππππ,
Sema Imma nae mroho wa madaraka sana ndio maana alisimamia ule uhuni wa January 2025 bila haya!
Makonda hakutumwa mbali na Magufuli.Ninyi hamjan'gamua hii kauli ya huyu mbunge, yuda anayeongelewa hapa ni Makonda. Kawaumiza wanasiasa na wengine walikuwa mbele leo wako nyuma upande wa wabunge kule( Nape) kawaumiza wafanyabiashara (GSM). Hata familia iliyomlea leo haimtaki karibu(Familia ya Samwel Sita). Magufuli alimtupa mbali nje ya dunia( Alimuondoa kwenye ukuu wa mkoa na kwenye mfumo kiujumla).
Hajasema alitumwa bali kasema alitupwa mbali huko. Na Nchimbi hajalelewa na familia ya mtu tofauti na wazazi wake.Makonda hakutumwa mbali na Magufuli.
Nchimbi alitumwa brazili huko
HaiwezekaniiNgoja huyo mbunge naye adinywe, maana nasikia Nchimbi naye si haba.
Amini nakuambia. Utacheka!!Haiwezekanii
Mbona hatariii sanaa, LolKila utawala unakuwaga na rogue elements kama huyu. Ila hawa wa maza ni wa kuwa nao makini zaidi. Wanakutoa roho faster. Vice president awe makini, japo nasikia na yeye ni mcheza faulo za gizani mzuri sana.
Na km kumuua watumie ile ya live, ila hii ya gizani hawampati kamwee, watatafutana nao wao kwa wao.Ni likisiki la mpingu?
Ndugu mdau,Mnara wa babeli!
Walidhani wametukomoa sisi ,kumbe kila mmoja anawaza lake!
Na ndio kwanza safari yao iko mwezi wa 8 tangu wainze! Wameanza kuitana majina mabayaππππππ,
Sema Imma nae mroho wa madaraka sana ndio maana alisimamia ule uhuni wa January 2025 bila haya!
Uongoooo!!Ninyi hamjan'gamua hii kauli ya huyu mbunge, yuda anayeongelewa hapa ni Makonda. Kawaumiza wanasiasa na wengine walikuwa mbele leo wako nyuma upande wa wabunge kule( Nape) kawaumiza wafanyabiashara (GSM). Hata familia iliyomlea leo haimtaki karibu(Familia ya Samwel Sita). Magufuli alimtupa mbali nje ya dunia( Alimuondoa kwenye ukuu wa mkoa na kwenye mfumo kiujumla).
Katumwa na Samia.Huyo mmbunge ujue katumwa π
Huyo dogo, nilimsifu sana humu alikuwa shujaa wangu, kaharibu!. Simai kujiuzulu ni ushujaa mkubwa kama Nyerere alivyojiuzulu U-PM. Anastahili pongezi, lawama, shutuma, na kukaliwa vikao au apewe maua yake? na makala gazetini nikamuandikia
View: https://youtu.be/19L2quNw-HE?si=GdG_QmcH6Dlo20rV
Wanasema Magufuli alimpeleka nchi ya mbali!!
View attachment 3600149
Ukiona panya anapiga misele mingi ujue shimo lake liko karibu, amini usiamini huyu ana baraka zote za anayemtetea.Hili joto tulikuwa tunasimuliwa tu kuwa hakuko shwari sasa wameamua kutuonesh wazi sisi wapenzi watazamaji na pia tunaandaliwa kisaikolojia.Huyo dogo, nilimsifu sana humu alikuwa shujaa wangu, kaharibu!. Simai kujiuzulu ni ushujaa mkubwa kama Nyerere alivyojiuzulu U-PM. Anastahili pongezi, lawama, shutuma, na kukaliwa vikao au apewe maua yake? na makala gazetini nikamuandikia
View attachment 3600212
ila niliopo soma hii Mbunge Simai: Kuna yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani
Ukimjua huyo mtu huyu jamaa aliyemuita Yuda, kiukweli huyu dogo Mhe. Simai, amechemka big time!.
Huyo aliyemuita Yuda, yeye hana matatizo, tatizo ni walio nyuma ya huyo Yuda!, Simai anajiingiza kwenye a very dangerous zone bila mwenyewe kujijua!, kusipotokea wenye busara, kumshauri, acheze mbali na anga za huyo Yuda!, take it from me, sasa hivi Mhe. Simai atageuka kuwa ni historia in no time!.
Nikajua dogo kachemka big time!.
P
anantukana mtanganyika katika Ardhi ya Tanganyika! daahNgoja huyo mbunge naye adinywe, maana nasikia Nchimbi naye si haba.