La sms amecheza na amefanikiwa sana, alipokelewa vizuri sana... Mpaka sasa jamaa amejilinda na hana doa kwenye makelele yote haya.πππ Mroho
Hata Mimi mwenyewe nilishangaa sana alipoonyesha text ya late magufuli , nikasema huyu jamaa anatafutia public tension hakuna kitu kingine anataka apewe priority na wananchi πππ
Kumbe bwana na wenyewe kina bimsumi wamelishtukia hilo
Lakini ni CCM mwanzako huyo!ana hoja useless π
Tunatolewa kwenye eneo lipi wakati wanaparuana waoCCM WANAWATOA KWENYE RELI, ACHENI UPUMBAVU.
HUYO ALIWAHI KUMJIBISHA HADI MWINYI.
Kimeumana, mbona Naibu speaker alimruhusu aendelee kuvwabwaja?
mimi ni mtaalamu na mwanasiasa muandamizi wa kitaifa na kimataifa gentleman,Lakini ni CCM mwanzako huyo!
Watatoana damuKwamba jomba ni ngunguli Sana?π
Don sio JKDon huyo anachelewa nini kusafisha njia? Au ndo ile hadi mambo yaharibike sanaa?/
Mpimeni afya ya Akili,Mirembe na Bungeni karibu!mimi ni mtaalamu na mwanasiasa muandamizi wa kitaifa na kimataifa gentleman,
sizingatia chama cha mtoa hoja kuelezea fikra, mtazamo au maoni yangu gentleman, nashuka nae jumla jumla kitaalamu kadiri inavyofaa na inavyotakiwa bila kuchelewa wala kuwahi π
Imagine π€£
Simichezo hiyo
Kila mtu anateta moyoni huyu katumwa huyu tukimzuia kitatulamba
Uimara wa chama ni kupapuranaTunatolewa kwenye eneo lipi wakati wanaparuana wao
MNinyi hamjan'gamua hii kauli ya huyu mbunge, yuda anayeongelewa hapa ni Makonda. Kawaumiza wanasiasa na wengine walikuwa mbele leo wako nyuma upande wa wabunge kule( Nape) kawaumiza wafanyabiashara (GSM). Hata familia iliyomlea leo haimtaki karibu(Familia ya Samwel Sita). Magufuli alimtupa mbali nje ya dunia( Alimuondoa kwenye ukuu wa mkoa na kwenye mfumo kiujumla).

SaaanaWabunge wa zanzibar kipindi hiki wanaogopwa sana
YaaniKwenye umma amefanikiwa, hali si hali
Naelewa sanaa.Don sio JK