Hii hoja kuna mtu aliileta humu akasema wanapanga kuligawa kisha waliuzeNini hoja yako mkuu, TANESCO isigawanywe kwa sababu tu ikigawanywa kutakua na CEO watatu ?
Kwaiyo wewe hofu yako ni kwenye "vyeo" tu !
Kuna faida gani upate huduma duni kwa gharama ndogo?Dili lingine linapangwa, ukigawa maana yake menejimenti tatu, hapo tayari umemuongezea mlaji gharama. Pili mafisadi yatapewa ugawaji maana ndiko faida iliko uzalishaji itaachiwa umma.
Swali lako la kwanza:Financing ya hayo mashirika matatu itakuwaje?
Ni lipi litapokea malipo ya luku? Mzalishaji, msafirishaji ama msambazaji?
Kama sababu ni hiyo, unadhani "wanashindwa" kuliuza zima zima ?Hii hoja kuna mtu aliileta humu akasema wanapanga kuligawa kisha waliuze
2. Kuliboresha kwa structure ambayo linayo sasa hivi. Kuliongezea uwezo kwa aspects nilizozitaja hapo juu na zaidi ili liweze kuongeza ufanisi
View attachment 2115355
Hawa watu waache kukariri ya kwamba makampuni yote ya kuzalisha nishati nchi ambazo zina ushindani wa soko yamegawanya kuna mengine yanayafanya shughuli zote tatu wenyewe.
Kikubwa kwenye soko huria ni regulator na strategies za mashirika kutokana na uwezo wao wa kifedha, available infrastructure which gives startup business options mainly kwenye usambazaji so wanatumia miundombinu ya wengine.
Kushindwa kwa TANESCO ni management issues solely.
Tuiboreshe TANESCO kwa kweli, whatever the means, vinginevyo tutazidi kumlalamikia tu J. Makamba kila kunapokucha.
TANESCO wanademi la trillion saba waulize wana mpango gani wa ku neutralise hilo deni wakiligawa shirika. What is their privatisation plan kumlinda mlaji against price hike and how exactly would such measures improve efficiency.Nakubalina na wewe na hizo energy management issues haziwezi kutatuliwa kwa kupeana kazi kishikaji!! Maharage hana uwezo wa kuliendesha shirika , kuendesha DSTV sio sawa na kuendesha TANESCO; these guys are jokers!!
Uko negative sana, unawaza kupigwa tu 24/7.I get it very well. Kwanini mnalilia hiyo option ya kuligawa shirika na sio hiyo option yako ya pili? Kwani hayo maboresho ya Kufanya shirika liwe na ufanisi na tija zaidi ni lazima liwe vipande vipande? Hiyo technology unayosema , haiwezi kuwa adopted mpaka shirika liwe vipande vipande? Duniani kuna mashirika makubwa mara mbili ya TANESCO na yana ufanisi na na tija hivyo hiyo argument yako ya size is moot!!
Kuna jambo nyuma ya pazia ambalo hawa wahuni wameona huu ndio wakati wao muafaka wa kutimiza azma yao . Kwanini hawakuja na mawazo hayo miaka miwili iliyopita wakati huo tulikwisha anza kusahau shida ya mgao? They had to wait until when they artificially created the load shedding as justification for their intended plans!!
Here you are, ndio maana nilieleza hapo awali kwamba miongoni mwa maeneo ambayo tunatakiwa kuiboresha TANESCO ni hapo kwenye rasilimali watu (mengine ni teknolojia, miundombinu, fedha, n.k).Kuboresha shirika lolote lile linahitaji management yenye weledi ambayo utaipata kwa kuwashindanisha wataalam ili kupata the best among them; huwezi kufanikiwa kama utaajiri watendaji kwa ushikaji / upendeleo!! Maharage Chande is not the best that could be found in the country to head Tanesco.
Tanesco ibaki Kama ilivyo na kujiendesha Bali makampuni mengine ya kuzalisha tu ya saini mikataba ili kuongeza nishatiya umeme nchiniHizi story hata zitto alishawahi kuzipiga bungeni miaka ya nyuma. Hii ni ajenda ya hawa mabepari ili wapate tenda zao. Siungi mkono hoja ya kulimega vipande Tanesco. Mashirika yote yaliyomegwa mfano TTCL na Posta yote yana underperform. Sanasana waliuza tu asset kwa bei rahisi basi.
Ungekuwa uko makini ungejua sababu ya huduma duni.Kuna faida gani upate huduma duni kwa gharama ndogo?
Heri mara 100 uhudumiwe kwa gharama upate huduma bora.
Ufike wakati tufunguke macho.
Kwasasa umeme unakatika nchi nzima, huma mbovu...huoni ni hasara kwa taifa?.ma ceos ndio wanakutesa?
Watu wapate ajira, uzalishaji uongezeke na huduma ziboreke
Tarimba yupo very smart sn kwenye hoja zakeMbunge wa Kinondoni, Tarimba Gulam Abbas amehoji ikiwa Serikali haioni ni muda mwafaka wa kulifumua Shirika la Umeme (TANESCO) ili kuwe na Kampuni tatu kwa ajili ya kufanya Generation Uzalishaji, Usafirishaji na Usambazaji kama ilivyo Nchi nyingine.
Akimjibu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kukatwa na kutolewa kwa maeneo hayo kwa watu tofauti kunaweza kuleta athari kwenye Usalama wa Nchi pale Umeme unapohitajika wakati wote na mmoja ya waliopewa jukumu awe anaenda kinyume na mipango, hivyo malengo kushindwa kufikiwa.
Amesema kwa Hali iliyopo Nchini, maeneo yote ya Uzalishaji umeme yanaendelea kufanya hivyo lakini changamoto ni miundombinu ambayo hata sasa inapeleka baadhi ya maeneo kukatiwa Umeme.