Shida ipo wapi km huduma itaboreshwa hta km gharama itaongezeka kidogo?Financing ya hayo mashirika matatu itakuwaje?
Ni lipi litapokea malipo ya luku? Mzalishaji, msafirishaji ama msambazaji?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ipo wapi km huduma itaboreshwa hta km gharama itaongezeka kidogo?Financing ya hayo mashirika matatu itakuwaje?
Ni lipi litapokea malipo ya luku? Mzalishaji, msafirishaji ama msambazaji?
Zitto hajawahi kuwa mkweli tangu azaliwe!Hili ndio tatizo tulionalo watanzania yaani mtu km unamchukia hta kama akiongea ukweli hutaki kuukubali
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kipi kinachokwamisha isiboreshwe kwa sasa kabla ya hayo mabadiliko? Au tutaazima wafanyakazi kutoka Europa.Shida ipo wapi km huduma itaboreshwa hta km gharama itaongezeka kidogo?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Unayajua madeni ya Tanesco? Kwanini gharama zisiongezwe kwa shirika kwa sasa?Shida ipo wapi km huduma itaboreshwa hta km gharama itaongezeka kidogo?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
bahati mbaya kwao huo mchezo ulishafanyika dawasa and dawasco and it failed miserablyHapo wahuni wanajua wataongeza urefu wa kamba Zao!!!