Mbunge Tauhidi alimaanisha hao kenge wa ndani ni akina nani?

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Mbunge Tauhidi kutoka Zanzibar alishauri serikali imalizane na Kenge wa ndani

Tunajiuliza hao kenge wa ndani ni akina nani?

Na anataka serikali imalizane nao vipi?

Hivi mbunge anafikia hatua yakuita Watanganyika kenge, anajielewa kweli?

Kwanini aite Watanganyika kenge?

Anataka serikali imalizane vipi na hao Kenge ( Watanganyika) watekwe au wauwawe, au wapewe kesi za uhaini, au wafungwe.

Wabunge acheni acheni dharau
1748328553270.jpg
 
Mbunge Tauhidi kutoka Zanzibar alishauri serikali imalizane na Kenge wa ndani

Tunajiuliza hao kenge wa ndani ni akina nani?

Na anataka serikali imalizane nao vipi?

Hivi mbunge anafikia hatua yakuita Watanganyika kenge, anajielewa kweli?

Kwanini aite Watanganyika kenge?

Anataka serikali imalizane vipi na hao Kenge ( Watanganyika) watekwe au wauwawe, au wapewe kesi za uhaini, au wafungwe.

Wabunge acheni acheni dharauView attachment 3347319
Ni nyie vibaraka wa Wazungu
 
Wajinga kazi yao ni kujipendekeza. Hawa wabunge 90% kungekuwa na uchaguzi wa haki hawawezi kurudi bungeni. Wamelewa malupulupu. Hata msukuma nilikuwa namuona anaweza kuwa upande wa Gwajima ambao ndio upande wa wananchi ndio upande wa walio wengi. Nae Msukuma ameshia kumezwa kujipendekeza
 
Msukuma anataka uwaziri na alishaonesha hiyo nia mara nyingi tu kwenye baadhi ya interview zake

Mtu ana mganga wake personal kwa ajili ya issue hizo unategemea aweje?
Ni huzuni sana hawa wabunge
 
Vituko haviishi Tanganyika
Yaani na msukuma nae awe waziri?
 
Msukuma anataka uwaziri na alishaonesha hiyo nia mara nyingi tu kwenye baadhi ya interview zake

Mtu ana mganga wake personal kwa ajili ya issue hizo unategemea aweje?
Ni huzuni sana hawa wabunge
Kwa kweli ni kilio kwa wengi. Mtu uwaziri unamshushia heshima kiwango hicho?. Hawa wabunge hawajui hivyo vyeo ni vya muda tu. Lakini heshima ukipewa na walio wengi ina thamani kubwa sana. Wanapoteza sana
 
Back
Top Bottom