Ni nyie vibaraka wa WazunguMbunge Tauhidi kutoka Zanzibar alishauri serikali imalizane na Kenge wa ndani
Tunajiuliza hao kenge wa ndani ni akina nani?
Na anataka serikali imalizane nao vipi?
Hivi mbunge anafikia hatua yakuita Watanganyika kenge, anajielewa kweli?
Kwanini aite Watanganyika kenge?
Anataka serikali imalizane vipi na hao Kenge ( Watanganyika) watekwe au wauwawe, au wapewe kesi za uhaini, au wafungwe.
Wabunge acheni acheni dharauView attachment 3347319
Msukuma anataka uwaziri na alishaonesha hiyo nia mara nyingi tu kwenye baadhi ya interview zakeWajinga kazi yao ni kujipendekeza. Hawa wabunge 90% kungekuwa na uchaguzi wa haki hawawezi kurudi bungeni. Wamelewa malupulupu. Hata msukuma nilikuwa namuona anaweza kuwa upande wa Gwajima ambao ndio upande wa wananchi ndio upande wa walio wengi. Nae Msukuma ameshia kumezwa kujipendekeza
Vituko haviishi TanganyikaMsukuma anataka uwaziri na alishaonesha hiyo nia mara nyingi tu kwenye baadhi ya interview zake
Mtu ana mganga wake personal kwa ajili ya issue hizo unategemea aweje?
Ni huzuni sana hawa wabunge
Kuna interview yake nadhani latest iko wasafi icheki you tubeVituko haviishi Tanganyika
Yaani na msukuma nae awe waziri?
Kwa kweli ni kilio kwa wengi. Mtu uwaziri unamshushia heshima kiwango hicho?. Hawa wabunge hawajui hivyo vyeo ni vya muda tu. Lakini heshima ukipewa na walio wengi ina thamani kubwa sana. Wanapoteza sanaMsukuma anataka uwaziri na alishaonesha hiyo nia mara nyingi tu kwenye baadhi ya interview zake
Mtu ana mganga wake personal kwa ajili ya issue hizo unategemea aweje?
Ni huzuni sana hawa wabunge
Yote hiyo ni kwa sababu hii.👇Yaani mpaka vilaza wanafikia hatua ya kutuita kenge! Kweli safari hii tumepatikana.