peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kwa mantiki hiyo, VAT bara tunalipa 18%, Visiwani wanalipa 15%????
Na nchi inaitwa Tanzania 😳
Na nchi inaitwa Tanzania 😳
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni shida sana swala la sukari limenishindaSisi wafrika tuna roho mbaya sana.
Eti Sukari Bakhressa anasafirisha kutoka Brazili umbali mrefu sana kwa meli hiyo hiyo sukari ina bei nafuu kuliko inayotoka Mtibwa na Kagera.
Trump alikuwa sahihi
Hizi ni nchi mbili zilizo ungana na hicho ni sahihi.Bwana Mbunge ameeleza sintofahamu iliyopo kati ya Zanzibar na Bara kwenye Biashara Kwa sababu Kuna utofauti mkubwa kiasi kwamba maingiliano ya biashara ni kama Nchi ziko Vitani wakati ziko kwenye Muungano
---
Mbunge wa Jimbo la Mpendae Unguja @toufiqsturky amesema Zanzibar kuna changamoto kubwa sana kwenye upande wa biashara, Mfanya biashara anaponunua bidhaa zake Zanzibar anachuka VAT analipa aslimia 15 anapochukua biashara hiyo nakuja bara anatakiwa tofauti ya asilimia 3 inakua asilimia 18
Amemuomba Waziri wa Fedha kuhakikisha mifumo ya wizara ya fedha inaenda na mifumo ya mamlaka ya mapato Zanzibar ZRA
My Take
Dawa ni kuwa na Muungano wa Nchi Moja.
Pia soma Mbunge Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport
Baada ya kumaliaza kulalamika ameunga mkono bajeti? anacheza na akili za maiti wa nchi hii?Bwana Mbunge ameeleza sintofahamu iliyopo kati ya Zanzibar na Bara kwenye Biashara Kwa sababu Kuna utofauti mkubwa kiasi kwamba maingiliano ya biashara ni kama Nchi ziko Vitani wakati ziko kwenye Muungano
---
Mbunge wa Jimbo la Mpendae Unguja @toufiqsturky amesema Zanzibar kuna changamoto kubwa sana kwenye upande wa biashara, Mfanya biashara anaponunua bidhaa zake Zanzibar anachuka VAT analipa aslimia 15 anapochukua biashara hiyo nakuja bara anatakiwa tofauti ya asilimia 3 inakua asilimia 18
Amemuomba Waziri wa Fedha kuhakikisha mifumo ya wizara ya fedha inaenda na mifumo ya mamlaka ya mapato Zanzibar ZRA
My Take
Dawa ni kuwa na Muungano wa Nchi Moja.
Pia soma Mbunge Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport
Tena ungevunjwa kabla ya 2025 ili Tanganyika ibaki salama!!Uvunjwetu hauna maana yoyote
Hivi hawa si ndio walisema si Watanzania ni Wazanzibar
Hivi si hawa ndio walikataa hata ndizi kupelekwa Zanzibar
Hivi si hawa ndio wenye katiba inayosema Zanzibar ni nchi kama Burundi
Hivi pesa kiasi gani (TRA) za zinavuka bahari kuja hazina Makao makuu
Utadhibiti vipi ubora wa bidhaa ikiwa kuna TBS na ZBS?
Hawa anataka kuingiza bidhaa hafifu zisizo na viwnago kwa kukwepa kodi kwa uchchoro wa Muungano
Mwisho wa siku anayeumia na uchochoro wa kodi ni Mtanganyika!
Chuki iko wapi, si Wazanzibar wametanka si Watanzania ndani ya BungeChuki zinakutesa sana mkuu
Kaka kwa maelezo yako kama ni kweli basi hawa jamaa sio ndugu zetu kabisaaa!!!Na wanaopigwa vita ni watu wa huku bara.
Ukiwa Mbara kupeleka product yeyote kuuza zanzibar ni shida hata kama mtu anauhitaji wa biashara yako haji kununua kwako.
Ila mzenj kuja bara kufanya biashara ni rahisi wamejazana gerezani wanauza spere used za magari, wamejazana mitaani huku wanauza juice za miwa bila bughuza yeyote.
Mbara kajaribu biashara zenj lazima ufilisike.
Mbara zanzibar labda ukafanye kazi kwenye hoteli za wageni kama mpishi au mlinzi ingawaje nayo wanalalamika sana kwamba wanachukuliwa kazi zao wakati wao ni wavivu sana kufanya kazi hizo.
Wazanzibari ni matatizo sana huu Muungani Nyerere alituingiza chaka
Chuki wapi ndugu hadi wabunge wanaongelea haya mambo bungeni unasema chuki.acha chuki za kipuuzi ndugu
Chuki wapi ndugu hadi wabunge wanaongelea haya mambo bungeni unasema chuki.
Huo ndio ukweli wenyewe wazenj wanachuki sana na watu wa bara.
Kuna mpemba hapa kitaa anauza juice ya miwa tumeamua kumuanzishia kampeni hadi ahame hapa kitaa sasahivi hatunywi juice zake
Kwa sasa nawachukia sana hao wajinga.wewe je huwachukii wa zenj?
Muda umewadia ni sasa....chukueni hatua msiogopeHakuna faida ya muungano mkuu
Mbara ukinunua kitu cha thamani Zanzibar utakiacha TRA.Na wanaopigwa vita ni watu wa huku bara.
Ukiwa Mbara kupeleka product yeyote kuuza zanzibar ni shida hata kama mtu anauhitaji wa biashara yako haji kununua kwako.
Ila mzenj kuja bara kufanya biashara ni rahisi wamejazana gerezani wanauza spere used za magari, wamejazana mitaani huku wanauza juice za miwa bila bughuza yeyote.
Mbara kajaribu biashara zenj lazima ufilisike.
Mbara zanzibar labda ukafanye kazi kwenye hoteli za wageni kama mpishi au mlinzi ingawaje nayo wanalalamika sana kwamba wanachukuliwa kazi zao wakati wao ni wavivu sana kufanya kazi hizo.
Wazanzibari ni matatizo sana huu Muungani Nyerere alituingiza chaka
Watachukuaje hatua wakati ni machawa wa ccm?Muda umewadia ni sasa....chukueni hatua msiogope
Mkuu walichokifanya ni kuendeleza utaratibu na maono ya walioasisi muungano.... hata huku si tuna umoja wetu tunauita Tanzania lakini bado wanaumoja wao wanauita ZanzibarKwa sasa nawachukia sana hao wajinga.
Nilikuwa nje ya nchi kihoja nilichokutana nacho.
Huko kuna umoja wa watanzania (diaspora) wao ni wanachama halafu wao wana kaumoja chao cha wazanzibar tu ambapo wabara hawapo.
Halafu cha pili huko nje wenyewe hawajiiti watanzania wanajiita wazanzibar.
Jamaa ni wabinafsi halafu wabaguzi sana siwezi kuwapenda watu wa namna hiyo
Ndicho Mbunge anataka kiwe adressedMbara ukinunua kitu cha thamani Zanzibar utakiacha TRA.
Yaani ni Bora ukiagize kutoka China utafanyiwa delivery hadi home.