Mbunge Tawfiq: Biashara kati ya Zanzibar na Bara ni Kama Nchi Ziko Vitani

Mbara ukinunua kitu cha thamani Zanzibar utakiacha TRA.
Yaani ni Bora ukiagize kutoka China utafanyiwa delivery hadi home.
Kuna hoja kwanini inatokea hivyo

1. Kodi za ushuru wa kuingiza bidhaa zinatofautiana. Zanzibar wana ushuru kodi ndogo na pia uchochoro wa kukwepa kodi. Wana bandari huru kwahiyo bidhaa zinaingia tu hovyo na viwango duni
TRA wapo sahihi kwasababu ukiacha vitu viingie utawaumiza Watanganyika na kuua biashara

2. Kodi za TRA za Zanzibar zinabaki huko haziji hazina Dar es Salaam. Ukiacha milango wazi TRA hawatakuwa na mapato.

Wanachofanya TRA ni kuzuia abuse! ikiwa tutaacha bidhaa ziingie hovyo basi tufungue mipaka yote
Laiti tungekuwa na ushuru sawa wa forodha na kodi, na pesa za TRA zinakusanya makao makuu hapo tungeelewa, kwa hali ilivyo TRA wapo sahihi, vingenvyo Mtanganyika utaumia kisa kuwafurahisha wananchi wa nchi jirani

TRA wapo sahihi, huyu mbunge ni wale wale!
 
Ccm wanapotosha. Waseme Tanganyika kila wanapoitaja Zanzibar na kunapotajwa bara kuende sambamba na visiwani.
 
Sasa muunganiko upo wapi? Usahihi ni nini?
 
Kwani Zanzibar Wana viwanda vya kutengeneza TV?
 
Kw Kwaio hizi sio chuki ? Duh, acheni roho mbaya hizo. Chuki za hali ya juu mlizonazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…