PreGE2025 Mbunge Ulanga: Rais Samia ni tajiri sitoacha kumuomba, tutamlipa kwa kura nyingi 2025

PreGE2025 Mbunge Ulanga: Rais Samia ni tajiri sitoacha kumuomba, tutamlipa kwa kura nyingi 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mpepetaji

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
346
Reaction score
213
Mbunge wa Jimbo la Ulanga Salim Alaudin Hasham ameeleza yale yote yaliotekelezwa na Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan na kusema pamoja na yote bado hatoacha Kumuomba fedha Rais Samia Kwa ajili ya kutekeleza miradi iliobaki.

Salim Alaudin aneyasema hayo mara baada ya kumalizika Kwa mbio za mwenge katika Wilaya ya ulanga.
 
Back
Top Bottom