Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Status
Not open for further replies.
Ndugu mimi ni kama wewe tu sina moja wala kumi na moja , Nimeona hii ndio nikaleta tushee na wale wasiojaaliwa kuiona basiiiiiii, Mengineyo Akuuuuuu Siyajui Miye ..........

Inavyo elekea wewe unajua mambo memgi kuhusu suala hili ila unaficha tu .Ok poa asante.
 
Mbona wamevaa sare kabla ya harusi... Hope akipona watatutangazia siku ya harusi lini.
 
Yaani kuna wanawake wana roho ngumu kuliko wale makomando wetu waliokuwa wanavunja matofali...yaani anataka kuolewa na mume wa mtu kweli!?

Hapo hata mimi sipati picha kabisaaaa
 
Sasa mbona watu wamevaa sare...

Mkuu kwa hali ilivyo hivi sasa hata kama ni wewe ungefanyaje kama sio kuivaa maana maji yameshamwagika muda huu
Haolewi kweli hajaolewa mpaka .......baadaye
Ngumu kumeza.....kama haka kaugonjwa ka dengue sijui kametengezwa...
 
Wanawake na Maendeleo alitaka kuyafanyia kwa Mume wa Mtu
Lakini mjini shule...
:israel::smile-big:
 
Bora upone uendelee na life kimasomaso wabongo wanakukandiaje huku sasaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom