Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
badili mandhari, picha itakuja tu..lol
Wanaume na utapeli tehe tehe
Mkuu kuna statement hapo mwisho sikubaliani nayo hata kwa kuchinjwa!!!
Usanii mbaya sana... Huyo Jamaa anatakiwa apate brain concussion haraka iwezekanavyo...
Sasa mbona watu wamevaa sare...
Huyo mpiga picha alikuwa anathibitisha kuwa kuna tatizo, maana kwa hali ya kawaida mume mtarajiwa ndio alitakiwa kuwa hospitali muda wote na asingeweza kosa hata picha mojawapo kati ya hizo zote hapobwana harusi hajaja kumsalimia mgonjwa?..
Mkuu kila jambo huwa linamatokeo yake, uzalendo na upendo vilishaisha baada ya wachache kujiona ndio wamaana kwenye hii nchi, sasa hivi bora liende anayemuwahi mwezie ndio majanja. Hastahili chembe ya huruma hata kidogo, maana yeye angekuwa na huruma asingethubutu kumuumiza na kuharibu ndoa ya mwenzake hasa watoto wa huyo mamaTaratibu naanza kuingiwa na wasiwasi mwingi, yale makuzi na utamaduni wetu wa kujaaliana na kufarijiana umeishia wapi? Tukiweka mbali mambo ya vyeo, Vicky Kamata ni Mwanamke/Mwanadada kama walivyo wapenzi, madada zetu wengi wenye kupata maumivu extras kwenye medani ya kimapenzi na mahusiano! itoshe kusema Vicky anastahili Pole nyingi na faraja nyingi kutoka kwa Jamii ya kitanzania kwa nafasi yake kama Mwanamama mwanaharakati wa haki za wanawake na pia kiongozi wa watu wake...Pole sana Dada Vicky, pole sana Mama mzazi wa Vicky kwa uchungu wa Mwana anaujua mzazi...Tujitahidi kuwa na staha kwenye majanga Jamani! Sisi ni Watanzania tu, ID yetu haitabadilika hata siku moja! Makuzi yetu, hayakutufunza haya ya kuzodoana na kusherehekea matatizo ya wenzetu ...
Ama kweli makeup ni kitu muhimu sana kwa huyo dada.
Chek asipopaka anavyoonekana!
Yaani kuna wanawake wana roho ngumu kuliko wale makomando wetu waliokuwa wanavunja matofali...yaani anataka kuolewa na mume wa mtu kweli!?