Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Status
Not open for further replies.
Majasusi hawajamkamata tu huyo tapeli? baba atamkomesha. Amelikoroga. Au hakupata baraka za baba nini?? maana baba alimhakikishia maisha na utajiri anao sasa iweje akaolewe??? chezea baba wewe alitumia tunguli kuleta kasheshe.
 
Strange world we're living in.Or I may ve got it all wrong?why do people celebrate her plight? Is it coz she ditched anthr woman?Well,i'd get it if you were the othr woman coz then you'd have retributtion as a cause for ululations.Now for us a bunch of othrs we acting as though we are some saints ourselves behind keyboards..lets get sm lives-it's no skin off our nose.
 
Taratibu naanza kuingiwa na wasiwasi mwingi, yale makuzi na utamaduni wetu wa kujaaliana na kufarijiana umeishia wapi? Tukiweka mbali mambo ya vyeo, Vicky Kamata ni Mwanamke/Mwanadada kama walivyo wapenzi, madada zetu wengi wenye kupata maumivu extras kwenye medani ya kimapenzi na mahusiano! itoshe kusema Vicky anastahili Pole nyingi na faraja nyingi kutoka kwa Jamii ya kitanzania kwa nafasi yake kama Mwanamama mwanaharakati wa haki za wanawake na pia kiongozi wa watu wake...Pole sana Dada Vicky, pole sana Mama mzazi wa Vicky kwa uchungu wa Mwana anaujua mzazi...Tujitahidi kuwa na staha kwenye majanga Jamani! Sisi ni Watanzania tu, ID yetu haitabadilika hata siku moja! Makuzi yetu, hayakutufunza haya ya kuzodoana na kusherehekea matatizo ya wenzetu ...
 
ImageUploadedByJamiiForums1401051810.702570.jpg

Familia ya bwana harusi .....mkewe na watoto
 
Ndoa na mimba nini huanza? Mtizamo wangu ni ndoa na baada ya ndoa ni mimba. Hapa tunajulishwa uhuni wa maharusi hao! Mungu hadhiakiwi, wazae kwanza kisha watubu na kubariki ndoa yao. Walitaka kufunga ndoa ya watu watatu, Mungu hajapenda hilo ndio maana hajaruhusu hilo.
 
Ama kweli makeup ni kitu muhimu sana kwa huyo dada.
Chek asipopaka anavyoonekana!
 
bwana harusi hajaja kumsalimia mgonjwa?..
Huyo mpiga picha alikuwa anathibitisha kuwa kuna tatizo, maana kwa hali ya kawaida mume mtarajiwa ndio alitakiwa kuwa hospitali muda wote na asingeweza kosa hata picha mojawapo kati ya hizo zote hapo
 
Taratibu naanza kuingiwa na wasiwasi mwingi, yale makuzi na utamaduni wetu wa kujaaliana na kufarijiana umeishia wapi? Tukiweka mbali mambo ya vyeo, Vicky Kamata ni Mwanamke/Mwanadada kama walivyo wapenzi, madada zetu wengi wenye kupata maumivu extras kwenye medani ya kimapenzi na mahusiano! itoshe kusema Vicky anastahili Pole nyingi na faraja nyingi kutoka kwa Jamii ya kitanzania kwa nafasi yake kama Mwanamama mwanaharakati wa haki za wanawake na pia kiongozi wa watu wake...Pole sana Dada Vicky, pole sana Mama mzazi wa Vicky kwa uchungu wa Mwana anaujua mzazi...Tujitahidi kuwa na staha kwenye majanga Jamani! Sisi ni Watanzania tu, ID yetu haitabadilika hata siku moja! Makuzi yetu, hayakutufunza haya ya kuzodoana na kusherehekea matatizo ya wenzetu ...
Mkuu kila jambo huwa linamatokeo yake, uzalendo na upendo vilishaisha baada ya wachache kujiona ndio wamaana kwenye hii nchi, sasa hivi bora liende anayemuwahi mwezie ndio majanja. Hastahili chembe ya huruma hata kidogo, maana yeye angekuwa na huruma asingethubutu kumuumiza na kuharibu ndoa ya mwenzake hasa watoto wa huyo mama
 
Ama kweli makeup ni kitu muhimu sana kwa huyo dada.
Chek asipopaka anavyoonekana!

Umeona ehhh, alafu uniform za nn tena na mikao ya picha au dada alikuwa anatafta umaarufu. Maana imekaa kibongo movie hii inshu
 
mie nimenote sura yake...mnh kweli pesa inapendezesha watu,kwa kweli bila make up mbayaaaaaaaaaaaaaaa au ni stress chezea kuwa talk ofu ze tauni,matwita instgramu wewe tu...lazima ukonde in a day
 
Yaani kuna wanawake wana roho ngumu kuliko wale makomando wetu waliokuwa wanavunja matofali...yaani anataka kuolewa na mume wa mtu kweli!?

Mkuu wangu,huyu Mh.ni msanii sijapata kuona,haumwi chochote,ukisimuliwa na wageni waliokuja kutoka Mwanza/Geita kinachoendelea hutoamini,namsifu sana aliempa aidea ya kwenda Tabata/Segerea "kulazwa kwa ugonjwa" lol!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom