Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Status
Not open for further replies.
Gossipcopwarumi, point of correction "tamaduni tuliyojiwekea "WATANZANIA" sio wa Africa. Nimetembea nchi nyingi Africa utumbo huu wa kuchangishana kwenye harusi wenzetu hawana. Wao ni elimu, ugonjwa na misiba kwisha. Sisi harusi unatoa Million moja, ikija ugonjwa wa kuokoa maisha ya mtu unatoa elfu 50 tena kwa kulalamika sana. Elimu ndio zigo lako mwenyewe.


Stanley Mitchell nadhani ndio tamaduni yetu tuliyojiwekea sisi wa africa ,kwamba mtu akitaka kuoa/Kuolewa lazima achangiwe, sio anachangiwa ili afanikishe shughuli hyo pekee, la hasha ,bali na wachangiaji pia wapate walau robo ya mchango walioutoa nikimaanisha msosi na vinywaji mbali mbali pamoja na ukumbi ndo maana hao waliochangia wanaona kama wamedhulumiwa kwani walitegemea fadhira in return, hawakuchangia kutoka moyoni, sasa badala ya kumuonea huruma mwenzao wao wanadai pesa, hii kitu sio kabisa

Kingine mimi naona mtu mwenye pesa zake kama vicky kamata hakupaswa kusumbua watu kwa michango, waache hizi tamaduni za kizamani,yaani kuolewa/kuoa uoe wewe shda uwape wengine, kama mtu huna uwezo arrange a small and affordable party watu wale wanywe inatosha, hii kitu kwangu haijakaa poa sana.
 
Wakuu,
Kumekuwa giza nene kuhusiana na mwanaume kwa jina Charles aliyemtapeli Mbunge wetu kuwa atakuwa wake wa ubani hadi Death do them apart. Ni masikitiko kuwa ndoa iliingia dosari baada ya mke wa ndoa wa Charles kuweka pingamizi kwa kutumia vyeti vya ndoa. Imekuwa ikizunguka mitandaoni kuwa huyu Charles ni mtumishi waTigo HQ na ameshatapeli wanawake 3 kwa mtindo huu sema ilikuwa kimya kimya kwa kuwa hawakuwa celebrities na haikusikika kama ya huyu Mheshimiwa Vicky Kamata. Kwa wale wanaolifahamu tapeli hili hebu fungukeni. Hii itasaidia kulinda mabinti na akina mama wengine wasikutane tena na tapeli hili. Kwa wenye picha ya tapeli wekeni. Wenye maelezo wekeni. Karibuni sana wakuu.

Moderator sahihisha heading ya post hii umeunganisha. Ni Charles na siyo Emmauel
 
Hao waliokwenda kumjulia hali hospitali na sare kama za arusi mbona siwaelewi? Pole sana Vicky hayo ni mapito yatapita na utasahau kama kuna pa kujifunza na kurekebisha utafanya hivyo.
 
Kucha zangu mie....natamani kweeeeeeeli kutiririka ilaaaaaaaa ngoja ngoja bado napenda kucha zangu
 
To my side nimefurahishwa sana coz kutumia milioni 96 siku moja tu kwa ajili ya harusi ikiwa kuna ndugu zetu wengi maisha yao ni mabovu na fedha zetu wenyewe walipakodi.
Hii safi sana na iwe fundisho kwa wenginge.
 
Kumbe na wewe ume notice...kzeeka ghafla...na ngozi imemshuka....

Kurudi kwenye mada...huo ndio mshahara...tena naona ingefaa aumbukie kanisani ili aipate fresh....


Kaumiza wengi...akina Amina Mpakanjia...not to say mama wa magogoni


Ama kweli makeup ni kitu muhimu sana kwa huyo dada.
Chek asipopaka anavyoonekana!
 
To my side nimefurahishwa sana coz kutumia milioni 96 siku moja tu kwa ajili ya harusi ikiwa kuna ndugu zetu wengi maisha yao ni mabovu na fedha zetu wenyewe walipakodi.
Hii safi sana na iwe fundisho kwa wenginge.

halafu ambacho bado sijakielewa ni nani alikuwa anaolewa? maana kiafrika ndoa anaandaa mwanaume sasa huyu vicky alikuwa analazimisha kuolewa mpaka michango akusanye yeye?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom