FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Hivi huyo Bwanaharusi Mtarajiwa ni password mbona haonekani.
hahahahaha jamani umenichekesha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huyo Bwanaharusi Mtarajiwa ni password mbona haonekani.
tena ni umbea first class kabisa.haha naona Sread inaendelea tu ..Umbeya unazidi kumiminika ..
hatimaye sasa shuzi limepata mjambaji.
huu udaku nitaukuta.. mahusiano nayo muhimu
mzima wewe
Stanley Mitchell nadhani ndio tamaduni yetu tuliyojiwekea sisi wa africa ,kwamba mtu akitaka kuoa/Kuolewa lazima achangiwe, sio anachangiwa ili afanikishe shughuli hyo pekee, la hasha ,bali na wachangiaji pia wapate walau robo ya mchango walioutoa nikimaanisha msosi na vinywaji mbali mbali pamoja na ukumbi ndo maana hao waliochangia wanaona kama wamedhulumiwa kwani walitegemea fadhira in return, hawakuchangia kutoka moyoni, sasa badala ya kumuonea huruma mwenzao wao wanadai pesa, hii kitu sio kabisa
Kingine mimi naona mtu mwenye pesa zake kama vicky kamata hakupaswa kusumbua watu kwa michango, waache hizi tamaduni za kizamani,yaani kuolewa/kuoa uoe wewe shda uwape wengine, kama mtu huna uwezo arrange a small and affordable party watu wale wanywe inatosha, hii kitu kwangu haijakaa poa sana.
Hivi huyo mume mpaka sasa hajatokea tu na hajatoa tamko lolote?
Kucha zangu mie....natamani kweeeeeeeli kutiririka ilaaaaaaaa ngoja ngoja bado napenda kucha zangu
Kucha zangu mie....natamani kweeeeeeeli kutiririka ilaaaaaaaa ngoja ngoja bado napenda kucha zangu
Kucha zangu mie....natamani kweeeeeeeli kutiririka ilaaaaaaaa ngoja ngoja bado napenda kucha zangu
Ama kweli makeup ni kitu muhimu sana kwa huyo dada.
Chek asipopaka anavyoonekana!
Kucha zangu mie....natamani kweeeeeeeli kutiririka ilaaaaaaaa ngoja ngoja bado napenda kucha zangu
To my side nimefurahishwa sana coz kutumia milioni 96 siku moja tu kwa ajili ya harusi ikiwa kuna ndugu zetu wengi maisha yao ni mabovu na fedha zetu wenyewe walipakodi.
Hii safi sana na iwe fundisho kwa wenginge.
tiririka mwanawane kama unaogopa niletee inbox niumwage. sisi wengine kama kufa tulishakufa siku nyingi tu, nothing to fear.