Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu dokta kweli au ni kanjanja? Ninavyoelewa daktari mwenye kujua maadili ya kazi yake katu hawezi kuongelea ugonjwa wa mteja wake na watu wengine wasiohusika. Labda kwa kibali cha mgonjwa.
Nadhani tatizo la maadili kazini ni kubwa kuliko tunavyoelewa. Ni ufisadi tu kwa kwenda mbele.Mimi mwenyewe nimeguna....Tz hakuna ethics ni fweza....
Kapewa ela kakaririshwa kasahau kiapo chake....
Doctor gani anatangaza ugonjwa wa mtu....LAZIMA amepewa ruhusa maalumu (mlungula)...wakidhani kuwa atakachosema doctor kita neutralize ukweli....poor mheshimiwa....
Kumbe na wewe ume notice...kzeeka ghafla...na ngozi imemshuka....
Kurudi kwenye mada...huo ndio mshahara...tena naona ingefaa aumbukie kanisani ili aipate fresh....
Kaumiza wengi...akina Amina Mpakanjia...not to say mama wa magogoni
halafu ambacho bado sijakielewa ni nani alikuwa anaolewa? maana kiafrika ndoa anaandaa mwanaume sasa huyu vicky alikuwa analazimisha kuolewa mpaka michango akusanye yeye?
Kama Mwanamke kuna huruma kidogo inanijia ....jamani
Kucha zangu mie....natamani kweeeeeeeli kutiririka ilaaaaaaaa ngoja ngoja bado napenda kucha zangu
SHOST HUKOMI?
ULIMCHUKUAGA NA MAREHEMU MPAKANJIA MPK AMINA CHIFUPA AKAKUTEKA. MAMA lini UTAFUTA WAKO,ACHA WAUME ZA WATU WATAKUTOA ROHO AU WATAENDELEA KUKUZALISHA TU.
ZAMAN TULISEMA UNATAFUTA HELA,HAYA SASA UNA HELA BDO UNATAFUTA NIN KWA WAUME ZA WATU? HAHAHA KWELI HELA SIO ISHU,WATOTO UNAO NA PESA UNAYO LKN BADO UNAHANGAIKA NA WANAUME? MNACHAGUA WANAUME WA KUWAOA MPK UMRI UNAENDA MNAANZA KUHANGAIKA UZEENI. WE LEA WANAO MAMA MAPENZI NAONA HAYAPO UPANDE WAKO.
From Magazeti:
Ile harusi ya the Century iliyokuwa ifanyike janq Kempisky Hotel baina ya Mbunge Maarufu wa Viti Maalum CCM Mh. Vicky Kamata imepiga mwamba
kutokana na ukweli kujulikana dakika ya mwisho juzi kwamba Mchumba wake Mheshimiwa Mbunge ni Tapeli wa ajabu hapa nchini ambaye amekuwa
akiwadanganya sana kina dada wenye utajiri na kwamba Mh. Vicky Kamata anakuwa ni Mbebez wa tatu kutapeliwa na Mchumba huyu pichani.
Ripoti inasema kwamba Juzi Mke wa kweli wa Mchumba huyo alijitokeza na hati zake Kanisani Catholic kwa Wachungaji waliomfahamisha mchumba kwamba hakutakuwa na tendo la kufunga Ndoa Kanisani ndipo Mvumba huyo bwana Charles akatimka na jumla ya pesa za mchango wa harusi hiyo Shillingi Millioni 40. Jumla zilikuwa zimeshachangwa Shillingi Millioni 100, tayari USD 15,000 zilikuwa zimeshalipiwa kwa ajili ya Ukumbi wa Kempisk
Hotel, tayari wageni waalikwa toka Geita walioshiriki kumchagua Mbunge huyo walishafika Dar wapo hapa, na cha kutisha zaidi ni kwamba Mheshimiwa Mbunge toka jana asubuhi ameshindwa kabisa kumpata mchumba huyo kwenye simu zake zote zimezimwa hazipatikani kabisa.
Inasemekana baadhi ya Wabunge waliomchangia kwa kiwango kikubwa sana wameanza kulalamika kwa pembeni kwamba wanataka sana kurudishiwa michango yao
MAPENZI NITIE WAZIMUUUU
matola unashangaa hiyo tu, aah dunia imebadilika huku uswazi kwetu kuna wadada wawili wanaolewa, mmoja amejilipia hadi mahali na gharama zote za ndoa juu yake, huyu mwingine jamaa kajilipia mahali ila gharama zingine za harusi ni mdada ndo hela zimemtoka baba, kajinunulia shela, suti ya bwana harausi, viatu, pete za wote wawili, na bado yupo anastruggle pale kamati itakaposhindwa aongezee, omba upendwe baba hahahhahaha, mie mahaba ya hivi yamenipita
Anawaambia wenzake wanawake na maendeleo,kumbe yeye anatumia kitu kingine kabisa kuyapata maendeleo.Hujambo lakin HOE!Charles mpaka sasa hajulikan alipo kaingia mitini jumla
ila bibie kasema ama zake kama alizoea kutapeli wengine ni hao
hao yeye hatapeliwi.., ngoja niendelee kusikiliza "WANAWAKE NA MAENDELEO" HAPA
Ni hivi, (hii kutoka chanzo cha ndani kabsaaa), misuguano ilianza kitambo kwa vijimambo vya hapa na pale including dharau na jeuri ya pesa basi mwanaume akawa anaonekana kama bendera fwata upepo tu. Soon baada ya shopping ya China ya harusi, bibie akawa anasisitiza bwana ahamie kwake (anakoishi mwanamke) maana haoni sababu kwa nini waendelee kukaa kila mtu kivyake huku ndoa ikaribu kufungwa!
Bwana alikuwa hataki hilo kwa sababu ya dharau za bibie pia bibie hapendi ndugu wa bwana! Sasa basi bila taarifa bibie akaenda hadi nyumba alopangwa bwana akaomba funguo kwa mama mwenye nyumba akatoa copy, siku ya siku akaenda na gari na nduguye mmoja wa kiume(mtoto wa mamake mdogo)wakafungua nyumba ya bwana wakabeba kila kilichokuwamo wakahamishia nyumbani kwa bibie. Bwana aliporejea kwake kutoka mishemishe zake (kazini) akakuta nyumba NYEUPEEEE! kuuliza mama mwenye nyumba kaelezwa bibie kaja hapa kahamisha kila kitu.
Ndo bwana kukasirika, akaamua kujificha wiki nzima akazima na simu. Bibie presha zinapanda zinashuka, dharau kwa ndugu atamuuliza nani? Naskia bwana akawa anawaeleza baadhi ya jamaa zake kuwa atamfanyia ushenzi atafunga nae ndoa Jumamosi kisha Jumapili atatoa talaka kumkomesha. (pia hakua na mapenzi ya dhati alipenda mkwanja. Ndo bwana kupatikana hewani majuzi kati hapa alipompigia bibie simu, akachaaambwa vya haja (kwa kuwa bibie alikwishatonywa juu ya mchongo wa kufunga ndoa na kesho yake talaka),
naskia akamweleza kama skendo alishapata kibao nini hii wala sio issue, akamwambia ndoa basi na yeye hataki tena na hili litapita. sasa ili kuiua sooo ikabidi mchongo uwekwe kuwa ana mimba inatishia kutoka anahitaji bed rest (ingawa kweli ana mimba changa)ili wadau waaminishwe hivyo. Kama mlisikia kipindi cha clouds cha leo tena Ijumaa Regina Mwalekwa alizungumza na daktari wake akadai kutoa maelezo hayo ya bed rest n. k. ingawa alipoulizwa ni mimba ya ngapi akachemsha eti ya kwanza!!!!!!!!!!!!!!! wakati bibie ana watoto wawili.
kwakweli mimi binafsi mambo hayo siyawezi kwanza umarioo kwenye maisha yangu ni marufuku.
hivi tatizo ni nini hasa hakuna waowaji au kina dada wako desperate sana?
pia ningependa anayejuwa umri wa Vicky si vibaya akitujurisha maana nimeshangaa sana kusikia ana watoto watatu.
Huyu dokta kweli au ni kanjanja? Ninavyoelewa daktari mwenye kujua maadili ya kazi yake katu hawezi kuongelea ugonjwa wa mteja wake na watu wengine wasiohusika. Labda kwa kibali cha mgonjwa.
Mwanzo niliposikia anaolewa nikajua anafunga ndoa na baba watoto...
Japo nilishasikia story kibao kuhusu baba wa watoto hao...niliona za uzushi....
Kumbe kijana aliamua kuoa mdada mwenye watoto watatu wasio wake...kisa nini???? fedha mwanaharamu....
Najua kuna watu mtasema kuzaa sio shida..ila jamani watoto watatu ...afu mnachangisha na michango na sijuhi shela sijuhi kanisa...eeeh watu wa BK wanasema ruhoile....(kama niko sawa spelling)
SHOST HUKOMI?
ULIMCHUKUAGA NA MAREHEMU MPAKANJIA MPK AMINA CHIFUPA AKAKUTEKA. MAMA lini UTAFUTA WAKO,ACHA WAUME ZA WATU WATAKUTOA ROHO AU WATAENDELEA KUKUZALISHA TU.
ZAMAN TULISEMA UNATAFUTA HELA,HAYA SASA UNA HELA BDO UNATAFUTA NIN KWA WAUME ZA WATU? HAHAHA KWELI HELA SIO ISHU,WATOTO UNAO NA PESA UNAYO LKN BADO UNAHANGAIKA NA WANAUME? MNACHAGUA WANAUME WA KUWAOA MPK UMRI UNAENDA MNAANZA KUHANGAIKA UZEENI. WE LEA WANAO MAMA MAPENZI NAONA HAYAPO UPANDE WAKO.
From Magazeti:
Ile harusi ya the Century iliyokuwa ifanyike janq Kempisky Hotel baina ya Mbunge Maarufu wa Viti Maalum CCM Mh. Vicky Kamata imepiga mwamba
kutokana na ukweli kujulikana dakika ya mwisho juzi kwamba Mchumba wake Mheshimiwa Mbunge ni Tapeli wa ajabu hapa nchini ambaye amekuwa
akiwadanganya sana kina dada wenye utajiri na kwamba Mh. Vicky Kamata anakuwa ni Mbebez wa tatu kutapeliwa na Mchumba huyu pichani.
Ripoti inasema kwamba Juzi Mke wa kweli wa Mchumba huyo alijitokeza na hati zake Kanisani Catholic kwa Wachungaji waliomfahamisha mchumba kwamba hakutakuwa na tendo la kufunga Ndoa Kanisani ndipo Mvumba huyo bwana Charles akatimka na jumla ya pesa za mchango wa harusi hiyo Shillingi Millioni 40. Jumla zilikuwa zimeshachangwa Shillingi Millioni 100, tayari USD 15,000 zilikuwa zimeshalipiwa kwa ajili ya Ukumbi wa Kempisk
Hotel, tayari wageni waalikwa toka Geita walioshiriki kumchagua Mbunge huyo walishafika Dar wapo hapa, na cha kutisha zaidi ni kwamba Mheshimiwa Mbunge toka jana asubuhi ameshindwa kabisa kumpata mchumba huyo kwenye simu zake zote zimezimwa hazipatikani kabisa.
Inasemekana baadhi ya Wabunge waliomchangia kwa kiwango kikubwa sana wameanza kulalamika kwa pembeni kwamba wanataka sana kurudishiwa michango yao
MAPENZI NITIE WAZIMUUUU
Kiu fupi kawekewa pingamizi na wanaume aliozaa nao watoto watatu wa kwanza , hayo ya vyeti ni kumlindia heshima tu .......haka ka dada ni kuchafua sana .....