Ndugu mimi ni kama wewe tu sina moja wala kumi na moja , Nimeona hii ndio nikaleta tushee na wale wasiojaaliwa kuiona basiiiiiii, Mengineyo Akuuuuuu Siyajui Miye ..........
Mume wa mtu sumu
Sasa mbona watu wamevaa sare...
Mi naona ni sanifu tu ha ha haWatafanyaje sasa bora wavae tu maana harusi hakuna tena
Mi naona ni sanifu tu ha ha ha
Yaani kuna wanawake wana roho ngumu kuliko wale makomando wetu waliokuwa wanavunja matofali...yaani anataka kuolewa na mume wa mtu kweli!?
Sasa mbona watu wamevaa sare...
Kuna mambo magumu mpaka unaogopa kucomment........uwiiiii.....
bwana harusi hajaja kumsalimia mgonjwa?..
Hapo sasa!hata hivyo utaambiwa ni kwa sababu ya mfadhahiko
Hapo hata mimi sipati picha kabisaaaa