Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Status
Not open for further replies.
tiririka mwanawane kama unaogopa niletee inbox niumwage. sisi wengine kama kufa tulishakufa siku nyingi tu, nothing to fear.

We jobless huchie mambo ya umbeya waachie hakina mama,unatia aibu...la sivyo utakazwa shauri yako
 
Enhee...!we mpwani kilichokutoa siasani ukaja celebrities nini???!!inahuuuuu!hebu kaoge ulale!
We jobless huchie mambo ya umbeya waachie hakina mama,unatia aibu...la sivyo utakazwa shauri yako
 
tiririka mwanawane kama unaogopa niletee inbox niumwage. sisi wengine kama kufa tulishakufa siku nyingi tu, nothing to fear.[/QUOT

lol mbavu zangu.. yaani watu mnapenda story!!
 
Namasteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!

Tuache ushabiki maandazi, wote wanawake wenzetu, jana baada ya kumwaga radhi humu, nimekuja kusutwa na mdundiko na baikoko ilikuwa sik kazi nyepesi! Nimefatwa na TAMWA ya kitaa, sio ile origina, chama cha wake za watu salaleeeeeeeeeeee!

Nimeona watu mnapayuka payuka mambo hata hamyajui, kudandia treni kwa mbele, ngoja NI SNITCH THE INSIDE STORY! THE UNTOLD WIFE'S STORY!

Huyu mke halali bwana ni kweli alifunga ndoa na huyo bwana si kanisani ila bomani, back in the days kitambo sanaa like a decade ago! ANAMPENDA KUFAAAAAA! EVEN AFTER EVERYTHING THAT HAS HAPPENED! Yani ukimkata yule mama damu yote ni zee la kuchepuka mwanzo mwisho.

Baada ya ndoa, wakazaa 1st born wao, then zee la kuchepuka lika VANISH kama vampire! Mama wa watu kalea mwanae wee. Baada ya kitambo flani vampire akarejea wakayamaliza wakarudiana, ndo kuzaa mtoto wa 2, mara Vampire kachepukaa tenaaa! ila this time anahudumia familia na nini. Mama wa watu ndo maombi, na nini ila bado anampenda mumewe vibaya sanaa! this round zee la kuchepuka likawa linadate watu yaani MBA (MARRIED BUT AVAILABLE) kama kawaida!

Ndo mkewe kusikia anaoa kama sisi wengine! waambiwa yupo ndani alia tu yakheee! inatia imani, wala hizo nguvu za kwenda kufanya fujo sijui vurugu sijui kisasi hanaaa! Analia na Mungu wake tu! mjini kuna mambo!

Ndo hivo mama wa watu wanamzushia ushari, sijui vurugu, sijui nini, walaa maskini! Hana mda huo! she is just a simple woman fighting for her man.

Ila zee la kuchepuka faili lake refu sanaa! japo kifupi sio marioo kihivo, ameajiriwa kampuni kubwa tu, anajiweza!

So my take huyu mama afike mahali tu ajue she is in a bleeding love! Ajipe moyo sanaa! Zee la kuchepuka labda litachange kwa maombi mazito! Nimemuhurumia si kidogo.
 
:Huyu mke halali bwana ni kweli alifunga ndoa na huyo bwana si kanisani ila bomani, back in the days kitambo sanaa like a decade ago!:
Mume aliye kuwa mtarajiwa wa Vicky ana umri gani?
 
Huyu jamaa na mzuzu wake inaonekana anajua kunyonya ndo mana anagandwa.
 
Yaani kila kitu hewani sasa,haya tuone sasa Vicky ataolewa kanisani au?
 
".....hivi nyie mnamjua uyo mwanaume ama mnasema tuu??????? akitokea tuu lazima ujikanyage utetemeke unapagawa kabisa ni ana mvuto uyo kaka ni handsome akiongoea unalewa kbs haringi charming anacheka na kilamtu kiufupi ni sukari ya warembo hakuna anaeweza kumkatatalia kitu charles ndo nawaambieni na wanaomjua wataagree anatujua wanawake udhaifu wetu wa kupenda kudekezwa kusifiwa mahaba mazito in bed baaaaass anatumaliza tuu ukija kwa vicky nae ni mtihani sjawahi skia habari nzuri kutoka kwake zaidi ya maugomvi ya kutoka na wanaume walooa wale wote ulowavuruga walikua na kinyongo na uchungu ushangingi ubabe ujuaji jeuri ya pesa ukajua u got this kumbe u got got!! jamani tuishi kwa upendo sisi wanawake ukimfanyia ubaya mwenzio its obvious litakurudia....."

Km Dk 10 hivi Nitarudi
 
Ni hivi, (hii kutoka chanzo cha ndani kabsaaa), misuguanoilianza kitambo kwa vijimambo vya hapa na pale including dharau na jeuri yapesa basi mwanaume akawa anaonekana kama bendera fwata upepo tu.

Soon baada ya shopping ya China ya harusi, bibie akawa anasisitiza bwana ahamie kwake(anakoishi mwanamke) maana haoni sababu kwa nini waendelee kukaa kila mtukivyake huku ndoa ikaribu kufungwa! Bwana alikuwa hataki hilo kwa sababu yadharau za bibie pia bibie hapendi ndugu wa bwana!

Sasa basi bila taarifa bibie akaenda hadi nyumba alopangwa bwana akaomba funguo kwa mama mwenye nyumba akatoa copy, siku ya siku akaenda na gari na nduguye mmoja wa kiume(mtoto wamamake mdogo)wakafungua nyumba ya bwana wakabeba kila kilichokuwamowakahamishia nyumbani kwa bibie. Bwana aliporejea kwake kutoka mishemishe zake(kazini) akakuta nyumba NYEUPEEEE! kuuliza mama mwenye nyumba kaelezwa bibiekaja hapa kahamisha kila kitu. Ndo bwana kukasirika, akaamua kujificha wiki nzima akazima na simu. Bibie presha zinapanda zinashuka, dharau kwa nduguatamuuliza nani?

Naskia bwana akawa anawaeleza baadhi ya jamaa zake kuwa atamfanyia ushenzi atafunga nae ndoa Jumamosi kisha Jumapili atatoa talaka kumkomesha. (pia hakua na mapenzi ya dhati alipenda mkwanja. Ndo bwana kupatikana hewani majuzi kati hapa alipompigia bibie simu, akachaaambwa vyahaja (kwa kuwa bibie alikwishatonywa juu ya mchongo wa kufunga ndoa na keshoyake talaka), naskia akamweleza kama skendo alishapata kibao nini hii wala sio issue, akamwambia ndoa basi na yeye hataki tena na hili litapita. Sasa ilikuiua sooo ikabidi mchongo uwekwe kuwa ana mimba inatishia kutoka anahitaji bedrest (ingawa kweli ana mimba changa)ili wadau waaminishwe hivyo.

Kama mlisikia kipindi cha Clouds cha leo tena Ijumaa Regina Mwalekwa alizungumza na daktari wake akadai kutoa maelezo hayo ya bed rest n. k. ingawa alipoulizwa ni mimba yangapi akachemsha eti ya kwanza!!!!!!!!!!!!!!! wakati bibie ana watoto wawili.

Ushauri: Dada aendelee kujisevia mapedejee tu aachane na habari za kuolewa maana ndoa zenyewe majanga tu
POLE YAKE!

Source: U-turn kwa Mange Kimambi Lowrey's member
 
bado tunakusubiri hapa ujaleta info bado bali ni mapambio tu.
 
afute machozi alee wanae penzi likishakufa kulifufua si kazi ndogo anaweza kujiumiza zaidi kumfuatilia mtu mzima na ndevu zake
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…