Namasteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!
Tuache ushabiki maandazi, wote wanawake wenzetu, jana baada ya kumwaga radhi humu, nimekuja kusutwa na mdundiko na baikoko ilikuwa sik kazi nyepesi! Nimefatwa na TAMWA ya kitaa, sio ile origina, chama cha wake za watu salaleeeeeeeeeeee!
Nimeona watu mnapayuka payuka mambo hata hamyajui, kudandia treni kwa mbele, ngoja NI SNITCH THE INSIDE STORY! THE UNTOLD WIFE'S STORY!
Huyu mke halali bwana ni kweli alifunga ndoa na huyo bwana si kanisani ila bomani, back in the days kitambo sanaa like a decade ago! ANAMPENDA KUFAAAAAA! EVEN AFTER EVERYTHING THAT HAS HAPPENED! Yani ukimkata yule mama damu yote ni zee la kuchepuka mwanzo mwisho.
Baada ya ndoa, wakazaa 1st born wao, then zee la kuchepuka lika VANISH kama vampire! Mama wa watu kalea mwanae wee. Baada ya kitambo flani vampire akarejea wakayamaliza wakarudiana, ndo kuzaa mtoto wa 2, mara Vampire kachepukaa tenaaa! ila this time anahudumia familia na nini. Mama wa watu ndo maombi, na nini ila bado anampenda mumewe vibaya sanaa! this round zee la kuchepuka likawa linadate watu yaani MBA (MARRIED BUT AVAILABLE) kama kawaida!
Ndo mkewe kusikia anaoa kama sisi wengine! waambiwa yupo ndani alia tu yakheee! inatia imani, wala hizo nguvu za kwenda kufanya fujo sijui vurugu sijui kisasi hanaaa! Analia na Mungu wake tu! mjini kuna mambo!
Ndo hivo mama wa watu wanamzushia ushari, sijui vurugu, sijui nini, walaa maskini! Hana mda huo! she is just a simple woman fighting for her man.
Ila zee la kuchepuka faili lake refu sanaa! japo kifupi sio marioo kihivo, ameajiriwa kampuni kubwa tu, anajiweza!
So my take huyu mama afike mahali tu ajue she is in a bleeding love! Ajipe moyo sanaa! Zee la kuchepuka labda litachange kwa maombi mazito! Nimemuhurumia si kidogo.