Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Status
Not open for further replies.
comment yako iko kama reflexive...na wewe ni muhanga?...tiririka mamito....

 
Yetu macho


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Haya wee...
Huyo jamaa angekuwa mpagani kama miye wala isingekuwa shida angejifungia zake ndoa ya kimila kwisha kazi halafu sherehe Hyatt Kilimanjaro Hoteli kama kawaida
 
Haya kumekucha
Hii 2nd episode....ngoja tuendelee kutizama,langu jicho,sikio na mkono shavuni
 
Inawezekana kweli hayo mapenzi yalikua yaku force. Vicky alitumia jeuri ya fedha cse kwann akumchunguza?? Yote hayo angeyajua kama angekua karibu na familia ya muoaji. Shauri yake bwana.
 
Ina mana ndoa ya bomani jamaa hajatoa talaka inaonyesha still anampenda mkewe,huyu vicky inaonekana aliforce ndoa kwa jamaa ila jamaa nae kasanuka kibingwa
 
Bonge la bwana hiloooo!limemtokea mtu puani...!tema sumu mamaaaa tema sumuuuu!
 
Ina mana ndoa ya bomani jamaa hajatoa talaka inaonyesha still anampenda mkewe,huyu vicky inaonekana aliforce ndoa kwa jamaa ila jamaa nae kasanuka kibingwa

Umewaza km mimi kweli kabisa mana angekuwa amtaki mkewe angeoa jana ila kachomoa!Inaonyesha kuna tatizo kati ya Vicky na jamaa.
 
Umewaza km mimi kweli kabisa mana angekuwa amtaki mkewe angeoa jana ila kachomoa!Inaonyesha kuna tatizo kati ya Vicky na jamaa.

Viti maalumu wanaishi kwa mashindano wazee w fursa wanawamega 2,inamaana jamaa akili yke ilirudi akaona anaowa chawote pia amri kwenye nyumba hana.
Unakaa kwa mwanamke hata kubweka huwezi ndio akaona heri aingie chaka.

Amemtia gundu mwenzake mana alijua anaolewa atabaki kucheza kwaito kwenye sherehe z wenzake tu
 
lara 1 nafika kule nakuta thread closed,,, kiufupi bibie mishipa ya aibu ilikatika toka mashwelwaaa alipokua akiuza mbufanga kwa franga kwny mikutano ya ...........
Hahaha!!!!!! alitaka ndoa ya macho lkn moyoni bado mizinga ya jkt anatumia sanaaaaaaaaaaaaa...
 
Last edited by a moderator:
mmmh sikelewuuu mi natafuta contact za jamaa maana huo mkwanja aliotoroka nao ni hatari sana.
 
Sasa kama walioana bomani...Whats Was The Problem..??.....the guy would have signed the damn papers if he no longer care about the 'official Lady'..........Poor Vicky.......She was played big time hapa.....
 
Hata mimi ningeweka kipingamizii tuuu, su ni mme wakeeee
 

sawa mamaa! aisifuaye mvua imemnyea.....dak 10 zimepita mbona hujarudiii???????????:redface:
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…