Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Status
Not open for further replies.
Si wanasema huyo tapeli anafanya kazi tigo, badi wakaanzie hapo tigo kumtafuta
 
Vicky anaumwa tumbo mimi
nimeongea nae jana...Acheni
umbeya jamani,ndoa imesogezwa
mbele na itafungwa tu acheni
uswahili.
 
Siamini kama "Kamata" anaweza "kukamatwa".
 
Ndo maana nakupenda binamu!loh huyu mdada sijui atajifichia wapi jamani na arudishe michango yetu

Waswahili bwana kwa roho mbaya eti kinajifanya nacho kilichanga...eh tuambie ulichanga sh ngapi?
 
Hakuna tapeli hapo acheni kuwa na akili za kupenda umbeya mpaka hamtumii akili zenu.

Au ni ndugu yako huyo tapeli, huwezi ukawa unaganya wasichana kila siku, maana huyu vicky ni wa tatu kufanyiwa mchezo huu, huyu jamaa yako ni tapeli ila mwambie safari hii kaingia cha kike, hapo tigo watajaa maafande
 
Au ni ndugu yako huyo tapeli, huwezi ukawa unaganya wasichana kila siku, maana huyu vicky ni wa tatu kufanyiwa mchezo huu, huyu jamaa yako ni tapeli ila mwambie safari hii kaingia cha kike, hapo tigo watajaa maafande

ebu wataje wengine aliowatapeli kama sio kufata mkumbo tu hapa na kupenda udaku.
 
Nilisoma mwananchi likisema kwamba kulikuwa na hati hati ya kufanyika. Wenye kadi za mualiko hebu tuambieni mnuso upo?
 
Nasikia haijafanyika kwa sababu alikuwa anaumwa hivyo asingehimili mikiki mikiki.
Pia hana sifa za kufunga, si unajua tena yule jamaa yetu yule.
Nilikuwepo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…