matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,951
warudishe michango yetu, ufisadi mpaka kwenye michango ya arusi
Duh na wewe unadai mchango wakati ata Vick umjui hakujui...acha uswahili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
warudishe michango yetu, ufisadi mpaka kwenye michango ya arusi
Gossipcopwarumi umetisha!!!! Had picha...
Si wanasema huyo tapeli anafanya kazi tigo, badi wakaanzie hapo tigo kumtafuta
Heaven on Earth siku izi umehama hili jukwaa au u bize mama angu, namis sana mawazo yako na comment zako za hekima
Ndo maana nakupenda binamu!loh huyu mdada sijui atajifichia wapi jamani na arudishe michango yetu
Wewe umejuaje kuwa hawajuani?Duh na wewe unadai mchango wakati ata Vick umjui hakujui...acha uswahili
Hakuna tapeli hapo acheni kuwa na akili za kupenda umbeya mpaka hamtumii akili zenu.
Binamu nipo nipo........ nimehamia jukwaa la wakubwa kwa muda nitarido soon
Au ni ndugu yako huyo tapeli, huwezi ukawa unaganya wasichana kila siku, maana huyu vicky ni wa tatu kufanyiwa mchezo huu, huyu jamaa yako ni tapeli ila mwambie safari hii kaingia cha kike, hapo tigo watajaa maafande
du kumbe SU kirefu chake sogea udandiwe? duuuh!!!
hahaha hi ya "sogea udandiwe" kali!Tehe tehe tehe,mambo ya SU bin Shirika la Uma,Sogea Udandwe,Subutu Ugegedwe!!!!