Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Status
Not open for further replies.
Kutoka na aibu ambayo angeipata kanisani akaona bora awe mgonjwa,kwa kikanasa anapingamizi so asingefungishwa leo,
 
pimbi wewe tafuta kazi ya kufanya unadhani ukuwadi nayo ni ajira? fanculo.

Kazi ninayo kubwa tu we kipapa...Ukijua kazi yangu we na ukoo wenu wote wa uko bukoba mtapanga foleni kuleta cv zenu...
 
kwa nini usichukuwe nafasi ya Vick badala ya ya kukatamauno hapa?
 
Kazi ninayo kubwa tu we kipapa...Ukijua kazi yangu we na ukoo wenu wote wa uko bukoba mtapanga foleni kuleta cv zenu...

hivi upambe nao siku hizi ni ajila? unatia aibu sana wewe bi shosti.
 
Too bad jamani?? How could he be so heartless??? Namwonea huruma Vicky masikini..
 
tatizo langu matumbo njaa kama wewe unayeishi kwa upambe jingaz

we nishakwambia sio rizki..mwanaume kushangilia kuona mtoto wa kike anakosa ndoa ujioni una tatizo? huu wivu unatoka wapi
 
Kweli haya magazeti ya Huruma(SHIGONGO) yanachekesha sana. Nikiwa sina kazi ya kufanya huwa napenda kuyasoma yanapunguza stress na depression pia.
 
Hiyo ni laana ya kuingilia ndoa ya mtu na kuzaa kabisa. Malipo hapa hapa dniani. Alipozaa watoto wawli na baba mkubwa ilihali anajua ana mke si aliona kapata?? Hatakaa asahau aibu hii na mimba kabandikwa. Uzuri wake aliuharibu kwa tamaa zake.
 
Kweli haya magazeti ya Huruma(SHIGONGO) yanachekesha sana. Nikiwa sina kazi ya kufanya huwa napenda kuyasoma yanapunguza stress na depression pia.
ukwendele jinga wewe umeshazoea kuishi kwa kubombom, kuna sheria mpya inakuja kuingia mjini lazima ulipe road toll. wapiga mizinga kama wewe hamtokanyaga mjini.
 
Uyo le mutuz kichwa maji si ndio kazitengeneza hizi habari ili atangaze blog yake alafu baadae anakukaja kuomba msamaha....Ebu shirikisha ubongo wako usibebe kila habari only sababu inasisimua.

Hata aibu huoni,hakuna cha harusi wala nini,kuna wageni walikuja toka Mwanza kwenye harusi na leo wamekuja kuniaga kesho wanarudi Mwanza,mambo yalianza kuharibika tangu juzi,na hata Hospital kaenda kuficha aibu tu lakini ukweli ni kwamba hakuna cha Ndoa,Bwana Harusi kaingia mitini
 
Hiyo ni laana ya kuingilia ndoa ya mtu na kuzaa kabisa. Malipo hapa hapa dniani. Alipozaa watoto wawli na baba mkubwa ilihali anajua ana mke si aliona kapata?? Hatakaa asahau aibu hii na mimba kabandikwa. Uzuri wake aliuharibu kwa tamaa zake.

Mkuu ni aibu ya mwaka kaipata,ni kweli ni mjamzito na Bwana harusi kaingia mitini.Muulizeni mjomba wake mkuu wa Mkoa mmoja kanda ya ziwa.
 
tatizo handsome ni mali ya umma. hamna mmiliki halali

Mkuu umeua. Halafu anaikimbiza 70 hivyo nguvu za mtungi hola. Huyu dada alipoteza step alipoangukia mkononi mwa handsome. Sema kamchongea mipango ya hela sana.
 
Mmh siamini hiyo pingamizi ya Paroko inamaana tangu ndoa itangazwe kanisani na kuandikisha si inabidi alete cheti cha ubatizo mapema. Kama hakuwa nacho si huwa anafanya mafundisho ya ukatekumeni then abatizwe... Kipaimara sio issue maana kama hana angepewa siku ya harusi kabla ya agano la ndoa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…