Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
ni kazi sana
btw halafu we nimekumaind kule ujue........., mi sependi aise
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi Nahisi kama Handsome kaingilia kati!!
NDO huyu binamu, ila ukimuona tu uson kakaa ki ujanja ujanja, yaan vicky simpatiii anavyoharisha uko
utakata sana mauno hapa lakini dili imebuma, kama ullipapangwakwenda kucheza sindimba rudisha advance ya watu.
Mi Nahisi kama Handsome kaingilia kati!!
Hakuna cha pressure kushuka wala nini,Bwana Harusi majuzi hapatikani kwenye simu,alipopatikana akampa live kuwa hayuko tayari kufunga ndoa,ndio mpango ukasukwa wa yeye kwenda Hospital kusingizia ni mgonjwa,lakini familia ilishajua siku 4 kabla kuwa mambo si mambo tena.
Mji huu una siri basi..... ka hivo ye adanganye presha na sie taarifa tunapata kama hivi
juna lako linanikumbusha ndugu yangu anaitwa hivo
ndio akome kudandia, ila sasa ajiandae arudishe michango ya watu....
Huyu paroko ana lake jambo!Yeah hapo ndio nime doubt wqliandikishwaje ndoa bila hivyo vyeti wakati RC hata komunio kama hauna cheti cha ubatizo huandikishwi sembuse harusi..
Na kama hakuwa nacho kabisa na hakubatizwa si angebatizwa kwanza, then siku ya harusi yake akapewa kipaimara.
Handsome nae kwa nni asimuache na mwenzie afurahie mazuri ya ndoa
Ina maana Vicky alikuwa hajui kama jamaa ana mke?au jamaa alisema alishamtaliki mkewe,ila si abadili dini ili aolewe na baba wa wanae!atakoma huko mama wa kwanza atakuwa anachekelea kumoyo!
Too bad jamani?? How could he be so heartless??? Namwonea huruma Vicky masikini..
basi akae tu na ubunge wake ndoa imeingia ruba, mechi za hapa na pale hawezi kukosa.