Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Status
Not open for further replies.
Hatariii saaanaaa..mweshimiwa chaliiii..
Atafute wake sio wa wenzie ona aibu hii
 
  • Thanks
Reactions: Sal
Hatariii saaanaaa..mweshimiwa chaliiii..
Atafute wake sio wa wenzie ona aibu hii

Amatius Liyumba alisota sana.....huyu jamaa ana bahati sana mukulu siku hizi na uzee umemrejeshea busara...angeenda segerea asubuhi saa sita na jioni..! Seya vaa viwaloo...seya tutoke wooteee..!
 
Na hii habari iwe ni somo hasa kwa wanawake.Ndoa ina nafasi yake bila kujali elimu,cheo,pesa,umaharufu au uzuri. wanaokosa bahati hii uishia kusema ndoa vibaya;ndoa za siku hizi hazidumu,mara ndoa kitu gani,hakuna ndoa bongo.yote yote mtasema lakin NDOA ni zaidi ya vyote!hata wacameroon wanalilia ndoa

Umaharufu ni kitu gani?
 
huyu hata mimi kanikera, sasa una-quote habari yote hiyo halafu unaandika mistari miwili, mnatutesa tunaotumia simu.

c.c: mamakibunju

Mimi kanisababishia usumbufu mkubwa sana usio wa lazima
 
Last edited by a moderator:
Mpwa ndoa imeota mbawa?

sipati picha magazeti ya shigongo kesho waandshi wa story moja watakuwa watano, mmoja ataripoti kutokea hospital wa pili kanisani wa tatu kilimanjaro hotel wa nne atawahoji makandarasi waliolipwa kutoa huduma harusini na watano kutoka social media.

huyu demu aombe ushauri kwa rostam jinsi anavyonunuwaga toleo zima lisipatikane mitaani.
 
So What Do U Want?…IDIOT….

Ha ha haaa sasa hapo unahisi umenitukana au? Matusi kwetu arachuga ndo salamu tupia kama kuna toleo jipya, hilo neno "idiot" fanya km umenigea tano lakini ujumbe umeupata
 
Money can not buy true love..... Mungu anaishi believe me. Ila jamaa alijitoa ufahamu kubeba huu mzigo. Bibie simu iko bize masaa 24 angeweza kweli. Amshukuru Mungu kwa kumnusuru katika hili janga. Pesa zipo tu ukidhamiria kuzipata. Jamaa yetu karibu ktk ukapera na ujipange upya.....
 
ha ha haaa sasa hapo unahisi umenitukana au? Matusi kwetu arachuga ndo salamu tupia kama kuna toleo jipya, hilo neno "idiot" fanya km umenigea tano lakini ujumbe umeupata

unatafuta b.. Au kick?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom