Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtandao ni mkubwa mchepuko sio dili baki njia kuu epuka ukimwi.
Hoya hoya. Mzee mkubwa mwenye mali atakuwa amechimba biti. Mwanaume mwenye roho ngumu kama ya nyau ndiye atathubutu oa hii madam
Huyo Mzee Mkubwa anawanawake wangapi Jamani vingine Uzushi ! kwanza kwa Nguvu gani za kupanda mitungi yote hiyo jama si kazi rahisi Handling all these Womens..🙄
Kwani wabunge wa chama pendwa wana aibu?Watu inaonekana km wamefurahia vile jambo hili litokee but to be honest mi nimesikitika sana coz nahisi atakuwa anajisikia vibaya sana na aibu isiyo na kifani na hasa hasa sipati picha siku atapokanyaga mjengoni ataiweka wapi sura yke maskini namuonea huruma ila mungu atakutia nguvu
Watu inaonekana km wamefurahia vile jambo hili litokee but to be honest mi nimesikitika sana coz nahisi atakuwa anajisikia vibaya sana na aibu isiyo na kifani na hasa hasa sipati picha siku atapokanyaga mjengoni ataiweka wapi sura yke maskini namuonea huruma ila mungu atakutia nguvu
Na drip juu duh haya mambo haya
hivi wanawake mna akili timamu kweli? hivi hili jitu umri huu liwe single kweli? seriously?NDO huyu binamu, ila ukimuona tu uson kakaa ki ujanja ujanja, yaan vicky simpatiii anavyoharisha uko
Hii ni habari ya kutengeneza.
tatizo handsome ni mali ya umma. hamna mmiliki halali