Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Status
Not open for further replies.
Hakuna cha pressure kushuka wala nini,Bwana Harusi majuzi hapatikani kwenye simu,alipopatikana akampa live kuwa hayuko tayari kufunga ndoa,ndio mpango ukasukwa wa yeye kwenda Hospital kusingizia ni mgonjwa,lakini familia ilishajua siku 4 kabla kuwa mambo si mambo tena.

Mji huu una siri basi..... ka hivo ye adanganye presha na sie taarifa tunapata kama hivi

juna lako linanikumbusha ndugu yangu anaitwa hivo
 
ndio akome kudandia, ila sasa ajiandae arudishe michango ya watu....
 
Ina maana Vicky alikuwa hajui kama jamaa ana mke?au jamaa alisema alishamtaliki mkewe,ila si abadili dini ili aolewe na baba wa wanae!atakoma huko mama wa kwanza atakuwa anachekelea kumoyo!
 
ndio akome kudandia, ila sasa ajiandae arudishe michango ya watu....

Na yeye naye anatia aibu, pesa zote alizonazo bado alitaka na michango ya watu, ndo arudishe sasa ,ndoa hakuna na pesa anatoa mbona atajinyea mwaka huu, naona uko atakuwa anaharisha tu sa iz
 
Yeah hapo ndio nime doubt wqliandikishwaje ndoa bila hivyo vyeti wakati RC hata komunio kama hauna cheti cha ubatizo huandikishwi sembuse harusi..
Na kama hakuwa nacho kabisa na hakubatizwa si angebatizwa kwanza, then siku ya harusi yake akapewa kipaimara.
Huyu paroko ana lake jambo!
 
Hii ni dhambi ya kuchezea Rasimu ya wananchi kwenye bunge maalumu la katiba. Kwa jinsi wabunge wa CCM na washirika wao walivyodharau mawazo ya watanzania kwa sababu wa wingi wao kwenye bunge maalumu kamwe mwenyezi mungu hatawaacha hivi hivi! Na hii ni mwanzo mungu atalipigania taifa hili kuhakikisha tunapata katiba mpya ya wananchi.
 
Handsome nae kwa nni asimuache na mwenzie afurahie mazuri ya ndoa

Tatizo mabitonga wa siku hizi hawakawii kujisifia mitaani kua wamepita njia moja na Handsome!! Tungekosa raha sana huku kitaa!!
 
Ina maana Vicky alikuwa hajui kama jamaa ana mke?au jamaa alisema alishamtaliki mkewe,ila si abadili dini ili aolewe na baba wa wanae!atakoma huko mama wa kwanza atakuwa anachekelea kumoyo!

Mama wa kwanza hawezi kuchekelea hii issue wewe Victoire, maana huyu vicky kama kamkosa yule tapeli basi hatari inaangukia kwa yeye kurudi tena kwa baba wa kwanza!!
 
Last edited by a moderator:
basi akae tu na ubunge wake ndoa imeingia ruba, mechi za hapa na pale hawezi kukosa.

Hizi mechi mbona hata akija kwangu mi poa tu, Hata kama kila siku.
Mradi tu anihakikishie usalama wangu kua Handsome hatoingilia kati!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom