Mbunge Viti Maalumu, Zainab: siyo kila biashara inahitaji mtaji, zingine wazo tu, kama kuwa MC unahigaji mtaji gani?
Kama vijana watapatiwa uwezo wa kutumia mitandao ya kijamii vizuri, wataweza kutengenez vipato vyao na kuweza kupata 50,000 kwa siku, kupata 1500,000 kwa mwezi. Serikali imesema kwenye dira ya maendeleo 2050 yaani miaka 25 kutokea sasa kila mtanzania atakuwa na uwezo wa kupata 50000 kwa siku na milioni moja laki tano kwa mwezi