Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
- #201
CCM wanahaha na Chadema kwa sababu wanajua ndiyo chaguo la wapigakura wengi................
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndio polisi wa TZ wanapata credit kwa kuwa unprofessional. Mtakumbuka aliyekuwa RPC Arusha Bw. Basilio alivyohandle uchaguzi in a professional way kwa kutokuprovoke fujo ili ionekane CDM ni watu wa fujo. Sasa aliyekabidhiwa ofisi ndio anajaribu kuwaonyesha waliomteua kwa RPC Arusha what he is capable of.
Ushauri kwa RPC Andengenye ni kuwa hao askari ni raia wa TZ na kama hicho ndicho anapanda kwa watu wa Arusha time will tell who is right and who is wrong.
Hii nchi hakuna haki.....angekuwa amepigwa mtama na mtu wa chadema tungesha mzikaMgombea wa CCM kule Maswa alompiga mtama OCD hadi chini puuu!.Uliza kilichoendelea.Lema,Mbunge,akiwa kwenye shughuli rasmi kabisa za kazi yake, anadaiwa kutishia unajua kilichomtokea.Jamani tuamke sasa.
Mgombea wa CCM kule Maswa alompiga mtama OCD hadi chini puuu!.Uliza kilichoendelea.Lema,Mbunge,akiwa kwenye shughuli rasmi kabisa za kazi yake, anadaiwa kutishia unajua kilichomtokea.Jamani tuamke sasa.
huyo ocd wa maswa alikuwa ****. Angempiga mtama ocd wa arusha aone kama angenyanyuka siku hiyo
Nadhani RPC aliyepita Matei kaenda shule kidogo. Lakini Andengeny I am told ni F IV with weak passes excpt anaongea kiingereza fasaha na hicho kilifanya awe mkalimani wa Mahita ambapo hatimaye Mahita akam mreward ka u RPC. What do u expect from that cv to handle that situation kama sio excessive power.
Basi hii elimu haimsaidi....Andengenye ni msomi hivi sasa anamalizia master degree yake pale SUA
Mmmmh, nimeipenda hii paragraph ya gazeti la Mwanachi
Jambo la kushangaza uchaguzi wa mameya umekuwa na matatizo makubwa katika maeneo yote ambayo upinzani una madiwani wengi huku wakurugenzi wa halmashauri hizo, ambao ndiyo wasimamizi kwaikidaiwa kuhusika kupanga njama za kukipendelea Chama Cha Mapinduzi kwa kukiuka taratibu.
Jana tulionya kuhusu watu madiwani wa CHADEMA kutokujihusisha na kitendo chochote kitakachoruhusu uchaguzi ufanyike bila wao kuwepo. Uchaguzi sasa umefanyika na CCM wamechukua Halmashauri na hiyo imetoka.
Diwani wa TLP tayari sasa keshapata unaibu meya.
Narudia tena nilosema jana, CCM wanapotaka kitu na wewe ukaweka mizengwe, ama watakuhamisha, au watakuundia kesi ulale ndani wafanye wanavyotaka au watakutuma usafiri nje ya nchi au watakulaza hospitali kwa nguvu hata kama huumwi ila wapitishe wanachotaka. Nia ya CCM ilikuwa ni kuhakikisha walau madiwani wawili wa CHADEMA hawaingii kwa kikao na hilo wamefanikiwa.
CHADEMA mnapoona kuwa mnaelekea kushinda, mjitahidi sana kutokuwa na hasira. Muepuke kumshikia manati kuku wenu kwani wapita njia wanaweza wakapiga mayowe wakifikiri ni vibaka. Kila jambo lifanyiwe uchunguzi wa kina. Epukeni kumkimbiza kichaa alowanyanganya taulo. CCM inajifanya kichaa ili uikimbize watu wakushangae wakati yenyewe inakamilisha mambo yao. Ukirudi wameshamwaga maji yako na sabuni wamechukua.

acheni ushahuri wa kijinga,nani anahasira mnajua jinsi gani chadema wanateseka kwa ajili YAKO.
Rutashubanyuma mbona sielewi kichwa cha habari kutofautiana na mada iliyo ndani maana nimetafuata issu ya mbunge kupigwa siioni ?
nikama doctoret ya jakaya,au ya prof maji marefu,au mstaz ya ukweli,,,,,,,,,,,,,,,sijui ila atakuwa ...................Andengenye ni msomi hivi sasa anamalizia master degree yake pale SUA