Kaka, habari hii imeandikwa sana, na bado ipo jukwaani inakuwa commented na wadau...Kila mtu ameshuhudia nini kilichotokea kwa Mheshimiwa Mbunge wa Arusha Mjini. Alinyanyuliwa kitini kwa nguvu na Polisi na kisha kupewa kipigo cha mbwa mwizi, haya yote yamefanyika LIVE kila mtu akiangalia. Hili halijafanyika kwa bahati mbaya, bali lilipangwa rasmi kwa hali ilivyokuwa ikijionyesha. Naomba kuuomba uongozi wa CDM umtake IGP Saidi Mwema atoe maelezo juu ya hali hiyo na pia wamtake amfukuze kazi huyo RPC, maana ni kinyume na sheria na utaratibu mzima wa kumchukulia hatua kiongozi yeyote aliyechaguliwa na wananchi.
Kila mtu ameshuhudia nini kilichotokea kwa Mheshimiwa Mbunge wa Arusha Mjini. Alinyanyuliwa kitini kwa nguvu na Polisi na kisha kupewa kipigo cha mbwa mwizi, haya yote yamefanyika LIVE kila mtu akiangalia. Hili halijafanyika kwa bahati mbaya, bali lilipangwa rasmi kwa hali ilivyokuwa ikijionyesha. Naomba kuuomba uongozi wa CDM umtake IGP Saidi Mwema atoe maelezo juu ya hali hiyo na pia wamtake amfukuze kazi huyo RPC, maana ni kinyume na sheria na utaratibu mzima wa kumchukulia hatua kiongozi yeyote aliyechaguliwa na wananchi.
Kaka, habari hii imeandikwa sana, na bado ipo jukwaani inakuwa commented na wadau...
Nilitegemea umeleta PICHA ZA TUKIO, MAANA UMESEMA 'live'...vinginevyo kama ni michapo kihivi haina uzito kabisa..
Samahani kama nimekukwaza!
Iam in Arusha..Ididnt witness the saga, and i would be happier if one of you guys pasted some snaps on the action instead of just narrating blank stories!Kaka I thought you were in Arusha . I am I wrong ?
tatizo la negative minded people. Mbona hamtaji sababu zilizopelekea kichapo cha LEMA???????????
CHADEMA Mnapenda kuvunja sheria kwa makusudi halafu mlalamike kuwa mnaonewa. Jeshi limefanya kazi yake. Naomba nipewe sababu za kichapo
hUTAONGEA HIVI BAADA YA KUPINDULIWA......It is a matter of time ..
tatizo la negative minded people. Mbona hamtaji sababu zilizopelekea kichapo cha LEMA???????????
CHADEMA Mnapenda kuvunja sheria kwa makusudi halafu mlalamike kuwa mnaonewa. Jeshi limefanya kazi yake. Naomba nipewe sababu za kichapo
tatizo la negative minded people. Mbona hamtaji sababu zilizopelekea kichapo cha LEMA???????????
CHADEMA Mnapenda kuvunja sheria kwa makusudi halafu mlalamike kuwa mnaonewa. Jeshi limefanya kazi yake. Naomba nipewe sababu za kichapo
Mara nyingi upumbavu kama huu huwa anapost NgongoKwa niliyoyasikia toka Arusha kwa mkereketwa wa CDM Mheshimiwa LEMA ALIOMBA KICHAPO KILE YEYE MWENYEWE!!SOMO
- Wao CDM walishagoma kwenda kwenye uchaguzi, wenzao wakaendelea! Kama sheria ilikiukwa (na CCM) basi CDM wangesubiri kupinga hilo kwa kufuata sheria!!
- Kuingia ukumbini wakati kikao cha uchaguzi (walichokigomea CDM) kimemalizika na kuanzisha vurugu ya kupinga matokeo ilitafsiriwa kama "kuvuruga amani"...na mbaya zaidi...
- Sheria ya nchi (Under the Criminal Procedures Act ikisomwa pamoja na Law of Evidence na Katiba yetu) inawaruhusu Polisi (au mtu yeyote aliyepewa dhamana ya kulinda usalama) kutumia "nguvu ya kiasi" wakati wa kumkamata (Arrest) na kumdhibiti (restrain) mhalifu/mtuhumiwa asilete madhara!! Bwana Lema alitoa BASTOLA, ni dhahiri endapo asingedhibitiwa angeweza kumdhuru mtu (Kwa kuwa kisheria huwezi kuelewa state of mind ya mtu wakati anafanya tendo lolote lile)....Kwa hiyo ilikuwa ni halali kwa polisi kumkamata na kumnyong'onyeza maana akkuwa anaendelea kutishia na hakujisalimisha kwa polisi!! Isitoshe polisi hawajatumia bastola au silaha nyingine, wametumia Judo na virungu...which so far was reasonable force!!
Tunaipenda CDM lakini mbinu zake sasa zinatuchosha, watapigwa sana kama hawatakaa chini na kujadili mbinu mbadala! Wote tunajua kwa nini RPC Arusha alibadilishwa, yule jamaa na watu wake wako kwa kazi maalumu, wanasubiri kuwa "tuned" tu, sasa kama adui umeshamuelewa anakupaje kazi kupambana naye? Hebu CDM wafuate sheria, wapambane KISAYANSI siyo kwa kutumia nguvu "ZA KIJINGA"....Kamwe hatutaweza kushindana na dola....TUWE MAKINI
tatizo la negative minded people. Mbona hamtaji sababu zilizopelekea kichapo cha LEMA???????????
CHADEMA Mnapenda kuvunja sheria kwa makusudi halafu mlalamike kuwa mnaonewa. Jeshi limefanya kazi yake. Naomba nipewe sababu za kichapo
Kaka, habari hii imeandikwa sana, na bado ipo jukwaani inakuwa commented na wadau...
Nilitegemea umeleta PICHA ZA TUKIO, MAANA UMESEMA 'live'...vinginevyo kama ni michapo kihivi haina uzito kabisa..
Samahani kama nimekukwaza!
ziliunganishwa maana ilikuwa kila mmoja akija anaanzisha yake anzia page ya tatu utapata unacho kitafutaRutashubanyuma mbona sielewi kichwa cha habari kutofautiana na mada iliyo ndani maana nimetafuata issu ya mbunge kupigwa siioni ?
Mkuu, hata username yake umeiangalia? anajiita(anaitwa) Bwegebwege.Mara nyingi upumbavu kama huu huwa anapost Ngongo
Kama alikuwa anabisha wafanyeje zaidi ya kipigo?tii amri uone mambo yanavyokwenda safiii